Sitaki pressureWanaume tuache kuweka vigezo vingi kwa wanawake..
Mchagua jembe si mkulima.
Tafuta mwenye unafuu anza nae, maisha.
Ukikaa kudhani kuna perfect match, utasubiri mpaka utakufa ukimtafuta.
Ndo maana mabachela wengi ni wale wenye elimu za darasani. Maana wana over analyse.
Life is short.
Nipe namba ya mkeo nimpe poleNdio, 😎
Hahahaha black Beaty,Sitaki pressureView attachment 3661079
Nyekundu za motoSitaki pressureView attachment 3661079
Mimi ni mjuzi ujue.. Tena mjuzi wa viwango vya juu sanaHahahaha black Beaty,
Imebaki kuichukulia sheria mkononi tu mzee? Maisha ya divorce yatakuuwa mzee
Nyekundu za moto
Ni kweli bruh ila awe marahisi kubebeka sasaNdo maisha yalivyo, wenye shida ni sisi wanaume, mwanamke uhalisia unambeba
Safi kabisa!Sitaki pressureView attachment 3661079