Mchaga Na Pesa.

Mchaga Na Pesa.

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,458
Reaction score
4,673
Siku moja jamaa mmoja Mchagga alidondokea kwenye Kisima Cha maji Akapiga kelele kuomba msaada huku akitapatapa.

Mkewe akaja na kamba mpya, jamaa akauliza umenunua shs Ngapi. mkewe akamjibu Buku. Jamaa akamwambie irudishe nenda kwa masawe anauza Jero fanya fasta nitakufa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom