Ernie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2010 Posts 217 Reaction score 27 May 9, 2011 #21 Najua makabila mengine yanatuzimia sana na mchakato wetu wa kusaka mahela
Kwamex JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 378 Reaction score 96 May 9, 2011 #22 kwi kwi kwi! Sa huyo mchaga kamba ikichelewa si ndo atawapa wenzake umaskini kwa kumnunulia jeneza akifa.
kwi kwi kwi! Sa huyo mchaga kamba ikichelewa si ndo atawapa wenzake umaskini kwa kumnunulia jeneza akifa.
K Kinabo Member Joined Dec 4, 2006 Posts 75 Reaction score 5 May 9, 2011 #23 Mchaga na pesa soi sawa na Maasai na ngombe.
G gracious86 JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 437 Reaction score 55 May 9, 2011 #24 mmmmh! Hahahahahaha,ahahahahaha! Je sisi wasukuma?