Mchaga na pesa(ubahili) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchaga na pesa(ubahili)

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Leornado, May 8, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mchaga mmoja alidondoka kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa mkewe akaja na kamba mpya akamrushia; mume akauliza umenunua sh.ngapi? Mke akamjibu, buku; akamwambia, irudishe nenda kwa Masawe anauza jero fanya fasta ntazama.

  Mchaga pesa kwanza , uhai baadae.
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Haaah haaah haaa. Inafurahisha.
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ama kweli mchaga noma...pesa mbele uhai badae!
   
 4. duda

  duda Senior Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh teh, nimecheka mpkaka machozi yamenitoka!
   
 5. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wachaga bwana
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hawa jamaa na pesa ni noma..
   
 7. B

  BROWN ANGEL Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we acha tu ni kama vile wameshushwa nazo.
   
 8. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hii kuna mtu kaipost facebook anyway kama mchagga sidhani kama sisi ni bahili kwa kiwango hiki
  :bange:
   
 9. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmm,hapo umemwonea kwenye uhai jamani hawako hivyo
   
 10. serio

  serio JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  aaaiiihahahaaa,.,heee,.!!! kiwale,umeskia hiyo?
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wachaga sio wabahili ILA WANAHESHIMU PESA NDO MAANA INAWAPENDA.
   
 12. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Umenikumbusha mchaga mmoja aliokoka na alipoenda kanisani ilibidi mchungaji akambatize,ubatizo wa maji mengi.Mchungaji akasema Nambatiza Massawe pamoja na vitu vyote alivyonavyo ndani ya Maji ni Vyako Mungu Baba,jamaa kusikia hivyo,ikambidi achomoe pesa mfukoni na kunyoosha mkono juu ya maji.Aliamini kua maombi ya mchungaji yameepisha zile hela kwazi hazikua ch ndani ya maji
   
 13. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha u made my day! Nimefurahi sana
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duu! bwanshee ni no ninoma kweli
   
 15. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Huyu mchaga atakuwa ndo yule aliye mnyoa mbwa wake kama simba akihofu wezi dukani
   
 16. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mlay ni mjaluo eh! Naona unasema hawa jamaa wakati ndo kabila lako hilo
   
 17. L

  Leornado JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  hahahaa hii kali kuliko. Mchaga hana utani na pesa aiseee.
   
 18. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Du! Wanasemwa sana wachaga, lakini huyo bwana ana sifa ya kudhibiti matumizi mabaya kama wapare, sio wachaga. Leo ndio nasikia mchaga ni bahili, nilisikia siku zote kwamba wapare ndio. Alisema Lyatonga kwamba mpare anauza ng'ombe ili apate hela ya kuhonga hakimu ashinde kesi ya kuibiwa kuku. Mchaga ni mkusanya hela ndio maana wamejaa TRA na hazina na huko kwenye mabenki.
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  mh!

  Hili la ubahili sidhani, ila nmecheka sn.
   
 20. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  You make me fun!! Teh teh teh!
   
Loading...