saleh sule
Member
- Dec 25, 2011
- 47
- 8
jamaa mmoja wa kichaga alikuwa anachota maji kisiman kwa bahat mbaya akadumbukia kisiman mkewe akaja na kamb mpya kumuokoa mumewe akamuuliza hy kamb umenunua sh ngap?mkewe buku mumewe rudisha kwa masawe ni sh 500 fanya haraka nitazama