Mchaga huyu nimetahadharishwa

Mchaga huyu nimetahadharishwa

Kwani Wewe Huna Maamuzi Yako Binafsi Mpaka Ndugu Wakuamuli?
Swala La Kuoa Ni Lako Mwenyewe Maana Huyo Mke Wewe Ndo Utaishi Naye.
Waambie Wakomee Kuwadharau Wachagaa

1.ushaury muhimu mkuu
nikweli lakini nina mifano mingi ya jamaa walioonywa kama mimi hawakusikia leo hii wanalia
mfano. Wapo waliong'ang'ania kuoa wanawake wakubwa kuliko wao... Leo hii wanatafuta michepuko hatary
 
Heri umuache huyo binti

Nyie wanaume ambao kila jambo mpaka ndugu zako wakuamulie mnakuja kusumbua mabinti ndoani

sio ndu tu hata marafiki na jamaa fulani wameniambia hivo. Ingekuwa ndugu tu mbona ninge ziba masikio, sasa hadi ray rafiki angu kanitaadharisha BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
1.ushaury muhimu mkuu
nikweli lakini nina mifano mingi ya jamaa walioonywa kama mimi hawakusikia leo hii wanalia
mfano. Wapo waliong'ang'ania kuoa wanawake wakubwa kuliko wao... Leo hii wanatafuta michepuko hatary

Follow Your Heart
 
MASWALI MAZITO
1. Una hela kiasi gani? maana watoto wa kichaga kwa hapo hawezi kukuacha
2. Umedumu nae kwa muda gani?
3. Hao unaoambiwa uoe na ndugu zako unawapenda?

Wachaga awafaii kuowa mdogo wangu watakupasua kichwa
 
usijali ndugu maneno ya watu huwa hayajengi,halafu hisia za watu usiziingize katika uhalisia wa maisha yako ukizingatia wengi wetu hatutakiani mema.
 
Mapenzi yenu yana mda gani?, mbona umejawa na wasiwasi na kujali maneno ya ndugu pamoja na marafiki?!!
ata kama utaamua kumuowa huyo bint ninahakika hiyo ndoa haitadum maana wewe siyo mwanaume lijali unayeweza kutatua matatizo yako tena madogo madogo kama hayo, kuwa naye huyo Mrombo kwenye uchumba kwa muda wa mwaka moja na nusu alafu utapata majibu ya swali lako kama anakufaha kuowa au hakufai.

1. Tuna miezi 9
2. Ulijali ninao
3. Ntajarybu kuwa nae kwa huo muda
 
jaman hiv mbna wachaga hasa wanawake wanaonewa hivyo hata wao wana haki ya kupendwa na kupenda kabila la mtu lisimnyime mtu haki ya kupenda au kupendwa wakuu

shida ni ile kasumba iliyozagaa ya katabia kakao ka kupenda sana mpunga
 
jamaa upo chuo umechanganywa hivyo.......soma mkuu.....mapenzi yapo.....elekeza akili yako masomoni.....

akili zipo masomoni kuliko unavo fikilia. Lakini kwenye sehemu ya ibada niliambiwa nikifika chuo nianze kutafuta mchumba.
 
kaka piga shule kwanza. Achana na huyo binti ni kibaka tu huyo. Anajifanya amekolea kwa sababu anajua una future nzuri. Kama huamini cheza na shule halafu udisco..uone kama hajakukimbia.Katika dunia ya leo suala la mwanamke siyo la kuumiza kichwa. Wanawake ni wengi sana mpaka kero.Tena ni rahisi kama mchuzi wa bamia....ndo maana wanahangaika ucku na mchana kutafuta mapenzi....

asante... Umetoa sababu kuntu
 
MASWALI MAZITO
1. Una hela kiasi gani? maana watoto wa kichaga kwa hapo hawezi kukuacha
2. Umedumu nae kwa muda gani?
3. Hao unaoambiwa uoe na ndugu zako unawapenda?

1. Pesa kiwango cha kati: yaani kuwezesha milo mitatu na kuvaa nguo za kawaida
2.miezi tisa
3. Hapana nataka mtoto mweupe wa kichaga kama huyu.. Wale ni weusi na moyo wangu unasita sana
 
Back
Top Bottom