Mchaga huyu nimetahadharishwa

Mchaga huyu nimetahadharishwa

Nafkir utakiwa umeshamchunguza vya kutosha kama ana tabia ya ajab utakuwa umeshaiona ila kama yupo pouw kitabia chukua mzigo huo maaana uzuri wa mwanamke ni tabia........ Ila kiukweli ukioa mchagga maendeleo lazima maan sisi ni watafutaji bhana

nimeambiwa tabia ya mrombo haichunguziki kirahisi kama unavozani... Anaweza kuwa mrefu leo kesho akawa mfupi sana... Anaweza kuwa mweupe leo kesho akawa mweusii
 
usijali ndugu maneno ya watu huwa hayajengi,halafu hisia za watu usiziingize katika uhalisia wa maisha yako ukizingatia wengi wetu hatutakiani mema.

mkuu unakumbuka mcheza kwao hutunzwa.. Pia hata hii nahisi home wananitakia mema... Hata bibi kanishauri hivo
 
Mwakolo unasemaje!!!! Wanawake wa kichagga ni fighters lands ulikutana na mbumbumbuu asiejua mbele wala nyuma na hajui dunia inapoelekea
 
mtizamo wangu.....
Heading yenyewe inatia ukakasiii.....hivi ukiambiwa mmasai huyu...mpare huyu...hii si lugha ya kstaarabu.Ukisema mwanamke wa kichaga isingetosha?
Pili,sijajua kama unaoa mke wako au ni wa watu.Kama ni wako basi angalia moyo unasemaje.Alafu kusema kwamba wachaga wote hawafai hiyo ni falacy ya kujmuisha,(Generalization fallacy) au falasii kufata mkumbo(bandwagon fallacy)...
Tatu inategemea kipau mbele chako kwenye familia yako ni nini
 
Braza usiangalie kabila...mm hapa ni mchagga tena wa rombo na mchumba wangu pia ni mrombo wala hamna tatizo lolote na hiyo issue ya kusahau kwenu ni uongo uliopitiliza sijawahi appear kitu kama hicho wasikutishie kabisa..............ukioa mchagga ni utajiri umejiweka
 
nimekutana na msomi ndugu angu
pia mtoto wa kuku hafundishwi kuwika
 
mtizamo wangu.....
Heading yenyewe inatia ukakasiii.....hivi ukiambiwa mmasai huyu...mpare huyu...hii si lugha ya kstaarabu.Ukisema mwanamke wa kichaga isingetosha?
Pili,sijajua kama unaoa mke wako au ni wa watu.Kama ni wako basi angalia moyo unasemaje.Alafu kusema kwamba wachaga wote hawafai hiyo ni falacy ya kujmuisha,(Generalization fallacy) au falasii kufata mkumbo(bandwagon fallacy)...
Tatu inategemea kipau mbele chako kwenye familia yako ni nini

kipaumbela kwenye famialia yangu ni amani katia ya mke na ndugu...
Falsafa huwa sizielewi sana
 
Braza usiangalie kabila...mm hapa ni mchagga tena wa rombo na mchumba wangu pia ni mrombo wala hamna tatizo lolote na hiyo issue ya kusahau kwenu ni uongo uliopitiliza sijawahi appear kitu kama hicho wasikutishie kabisa..............ukioa mchagga ni utajiri umejiweka

duh! Mchagga ni uatajiri hapo sijaelewa kabisa...
Mkuu nasikia wapemba wanajuana kwa viremba
 
Kuna binti mmoja wa kichagga ananipenda sana hata wakati mwingine amekuwa akifanya mambo ya aibu ili anifurahishe.

Amekuwa akiniomba sana tufanye kazi pamoja na hata kushinda pamoja sehemu yoyote.

Lakini shida inaanza pale ambapo rafiki zangu wamekuwa wakiniambia nisimkubalie kabisa kuwa nae karibu wala kumuoa.

Kwani naweza pata shida hapo baadae..

Yaani nitawasahau ndugu zangu kabisa nimejitahidi kujitenga nae lakini amekuwa akinitafuta mara kwa mara akinijulia hali.

Hata ndugu zangu wamenikataza kumuoa huyu mtoto wa kichagga (rombo).

Kumtema moyo unauma sana maana kanifia kabisa

We bado mtoto sana. Yaani wewe unata watu wakuamulie mtu wa kuishi nae, kesho utakuja kuuliza uingize wapi!!!!
 
Back
Top Bottom