Mchaga huyu nimetahadharishwa

Mchaga huyu nimetahadharishwa

krap krap krap....kwani una owa wewe au hao ndugu zako?....umependa wewe au hao ndugu zako?
basi owa hao ndugu zako.
 
krap krap krap....kwani una owa wewe au hao ndugu zako?....umependa wewe au hao ndugu zako?
basi owa hao ndugu zako.

1.naowa mimi
2.nampenda mimi
3. Kuoa ndugu utamaduni hauruhusu mkuu
 
Acha upumbavu ushauri ni asilimia 25% mawazo yako ni 75% so angalia wewe unawaza nini ? Kwa hiyo ukioa mwingine wakakushauri usimpe mimba utakuja juta kwa kuw a malezi ni magumu utaacha ili usije juta
 
subiri kwanza umalize chuo ndo utafanya maamuzi. upo mwaka wa pili chuo ushaanza kuwaza kuoa!!!! sikushauli umuache, lakin huwez kusema umepata mchumba saiv, maisha bado sana dogo.
 
Kwani Wewe Huna Maamuzi Yako Binafsi Mpaka Ndugu Wakuamuli?
Swala La Kuoa Ni Lako Mwenyewe Maana Huyo Mke Wewe Ndo Utaishi Naye.
Waambie Wakomee Kuwadharau Wachagaa
 
Usikilize moyo wako coz akija kukubadilikia wewe ndo muadhirika wa kwanza
 
Back
Top Bottom