Mchaga huyu nimetahadharishwa

Mchaga huyu nimetahadharishwa

Kwani wewe uliambiwa kuwa wanawake wa rombo ni majambazi kwa hiyo watakuua?
 
Basi tulia ntazirudisha wala usijali haina haja ya avatar mimi mwenyewe avatar tosha
Naloga mtu. Afu hebu nrudishie ile avatar yangu. Naona kama nguvu za kiume zinapungua nisipoiona.
 
Mapenzi yenu yana mda gani?, mbona umejawa na wasiwasi na kujali maneno ya ndugu pamoja na marafiki?!!
ata kama utaamua kumuowa huyo bint ninahakika hiyo ndoa haitadum maana wewe siyo mwanaume lijali unayeweza kutatua matatizo yako tena madogo madogo kama hayo, kuwa naye huyo Mrombo kwenye uchumba kwa muda wa mwaka moja na nusu alafu utapata majibu ya swali lako kama anakufaha kuowa au hakufai.
 
jaman hiv mbna wachaga hasa wanawake wanaonewa hivyo hata wao wana haki ya kupendwa na kupenda kabila la mtu lisimnyime mtu haki ya kupenda au kupendwa wakuu
 
1. Sina uhakika
2.hapana nataka awe mchumba kwanza
3.mahali ipo
4.nipo chuo mwaka wa pili

jamaa upo chuo umechanganywa hivyo.......soma mkuu.....mapenzi yapo.....elekeza akili yako masomoni.....
 
kaka piga shule kwanza. Achana na huyo binti ni kibaka tu huyo. Anajifanya amekolea kwa sababu anajua una future nzuri. Kama huamini cheza na shule halafu udisco..uone kama hajakukimbia.Katika dunia ya leo suala la mwanamke siyo la kuumiza kichwa. Wanawake ni wengi sana mpaka kero.Tena ni rahisi kama mchuzi wa bamia....ndo maana wanahangaika ucku na mchana kutafuta mapenzi....
 
MASWALI MAZITO
1. Una hela kiasi gani? maana watoto wa kichaga kwa hapo hawezi kukuacha
2. Umedumu nae kwa muda gani?
3. Hao unaoambiwa uoe na ndugu zako unawapenda?
 
Acha upumbavu ushauri ni asilimia 25% mawazo yako ni 75% so angalia wewe unawaza nini ? Kwa hiyo ukioa mwingine wakakushauri usimpe mimba utakuja juta kwa kuw a malezi ni magumu utaacha ili usije juta

asante sana ndugu hizo 25% naona hata bado sijazipata humu ndio maana bado natafuta ushauri wenu.
Hizo 75% nahisi sina kabisa.. Mimi nina kama 35% tu za maamuzi kwaio nikiongeza na hizo 25+35=60%
zinazobaki namuachia mungu
 
subiri kwanza umalize chuo ndo utafanya maamuzi. upo mwaka wa pili chuo ushaanza kuwaza kuoa!!!! sikushauli umuache, lakin huwez kusema umepata mchumba saiv, maisha bado sana dogo.

big kwa huo ushaury wewe nimekuelewa sana. Too much respect to you
 
Nafkir utakiwa umeshamchunguza vya kutosha kama ana tabia ya ajab utakuwa umeshaiona ila kama yupo pouw kitabia chukua mzigo huo maaana uzuri wa mwanamke ni tabia........ Ila kiukweli ukioa mchagga maendeleo lazima maan sisi ni watafutaji bhana
 
Back
Top Bottom