mchaga bwana!!!!, hivi hela zitawapeleka wapi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mchaga bwana!!!!, hivi hela zitawapeleka wapi???

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ms Judith, May 16, 2011.

 1. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mchaga mmoja alidondoka kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa mkewe akaja na kamba mpya akamrushia; mume akauliza umenunua sh.ngapi? Mke akamjibu, buku; akamwambia, irudishe nenda kwa Massawe anauza jero fanya fasta ntazama.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  hii mbona ipo hapa siku nyingi sana?
  but still nimecheka.
   
 3. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kama ipo si waziunganishe tu
   
 4. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hahaha. miss J zile siku 30 zimeshatimu?
   
 5. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yaani huyu sista mnamfuata hadi huku kwenye jokes?!! taratibu mazee, mwali wetu asije akakimbia jamvi tiukazikosa stori za mabikira!
   
Loading...