Sababu haswa ya kubomolewa .hiyo nyumba ni ipi kati ya hizi?
1. Alisema nyumba hizo, zimevunjwa kwa kuwa zimejengwa bila kibali cha ujenzi kutoka Manispaa ya Kinondoni.
2. Mama Lwakatare hana hati ya kumiliki eneo hili wala kibali cha kujenga nyumba kutoka Manispaa ya Kinondoni.
Awali ofisi ya Ardhi ilipokea malalamiko kutoka kwa mmiliki halali wa eneo hilo, Janeth Kiwia, kwamba eneo lake limevamiwa na kujengwa bila kibali Desemba 24.
Mzee Ngonyani wa Kawe ni Mojawapo wa watu walioathilika na Tabia ya Mama Rwakatare ya kuwadhulumu Masikini Viwanja kisha kuwatumia Mawakili wake kuwatisha hatimae kufanikisha kumiliki Viwanja kwa dhuluma , hiyo Laana ya Mzee Masikini wa Kawe ndio imefanya Haya yote kwani wakili wake kadunda licha ya kujaribu kila mbinu zote.Mzee ngonyani sasa anajipanga kwenda ikulu kuonana na Rais Maana amejaribu kote lakini Rushwa ikamnyima Haki zake yeye Hana pesa ni fukara Ndio Maana ametumia Laana ili kumfikishia Ujumbe
Zote hizi ni sababu mkuu. Kwa mujibu wa sheria hata kama una umiliki halali wa eneo ni lazima upate BUILDING PERMIT toka mamlaka husika. Ukijenga bila kibali hata kama una hati ya kiwanja chako wakiamua kukubomolea wapo ndani ya matakwa ya sheria, kwasababu umekiuka sheria. Hivyo hata kama aliuziwa na kulikuwa na mgogoro wa umiliki, kisheria hakupaswa kujenga permanent structure yoyote mpaka michoro yake ya ramani ipitishwe na wahandisi wa manispaa na apewe kibali cha kuanza ujenzi.
Mbona madogo hayo kwa huyo mama ana meng yakutisha
All in all from foundation to roofing where were the authorities? who will bear the cost of demolition? there must be another reason behind this
Hatimaye.......maana hili sakata nililisikia muda mrefu sana mama akawa anatumia njia anazojua yeye kuzima hii issue, hongera Tibaijuka hongera Mdee maana najua lazima kuna nguvu zako mpaka hilo zoezi limefanikiwa.
Mkuu umeingia chaka. Lile li hekalu la kule ufukweni Waziri alichemsha, Mdee alichemsha, NEMC walichemsha,Pinda alichemsha pia. Lile lidude halibomoleki...
CC: Somoche
Sio ile ya ufukweni ni nyingine ndogo ndogo kama tano ndo zimebomolewa
Kwa hiyo kwako wewe, yule mama mjane kudhulumiwa kiwanja chake na hao mafisadi wenye economic power, ndiyo unaona sahihi?!
Nadhani hilo lililofanywa na Manispaa ya Kinondoni ni sahihi kabisa, ili liwe fundisho zuri kwa wale mafisadi wengine, wanaotengeneza pesa chafu, kwa staili ya uuzaji wa 'sembe' na unyofoaji wa pembe za ndovu, kuwa their days are numbered, kwa kuwa sheria ni msumeno, inakata huku na kule, bila kujali nafasi yako kwenye society!
Mkuu ishu sio mjane, hapa swala ni je Lwakatare ni mmiliki halali wa kiwanja hicho? Naamini hata walioruhusu nyumba zibomolowe sio kwa ajili ya ujane, bali ni kukosa uhalali wa kumiliki
Mungu hana upendeleo! hutenda haki siku zote hata kama binadamu tutatumia uwezo wetu wote kuzuia haki isitendeke.mjane hongera sana! kilio chako kimesikilizwa.Viongozi wa kiroho kutwa kuhubiri watu tuungame dhambi zetu wakati wao wako mstari wa mbele kuzitenda!
Mkuu haya ya stop order na mahakamani naamini umesoma tu hapa kama lilivyoandikwa gazetini unless uniambie upo karibu na mtiti huu hivyo una taarifa za ziada. Kama hapana, sidhani kama unaweza kuhoji kwa authority hatua zilizochukuliwa. Victim (Lwakatare) anaweza kujibu chochote akiwa kwenye disadvatage position pindi anapohojiwa na media. Awali kuna mdau alisema huyu mama alikataa wito wa kufika mahakamani, unajuaje kama mahakama iliamua kesi ya upande mmoja na baada ya jidgement yeye akaenda kukata rufaa? Kwa hiyo nadhani tusiprolong debate hii kwa mgongo wa mahakama ilihali hatujui kwa uhakika na ushahidi proceeding ya kesi ilikuwaje na status ipoje sasa hivi.Hapo umesema sahihi. Ushabiki wa dhuluma kwa mjane ni porojo. Kikubwa ni hicho. Wizara ya ardhi na manispaa ya kinondoni si mahakama. Pengine ingekuwa sahihi kama kusingekuwa na Stop Order ya Mahakama. Mahakamani ndiko sehemu pekee ya kupatikana kwa haki kwa mujibu wa sheria.
Ni sheria gani wametumia kuvunja nyumba wakati shauri liko mahakamani na wamepewa stop order? Lazima sheria za nchi ziheshimike. Kule mahakamani, ndipo umiliki wa eneo ungetamkwa bayana na kumtia hatiani mwenye makosa na kutoa mwongozo nini kifanyike.
Mheshimiwa wakili wa Rwakatare unajitahidi sana kumtetea mama. Hongera sana, ila ndo hivyo nyumba zishavunjwa!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kuna watu wana hela zakupoteza sana yaani unajenga wakati umekatazwa
Mkuu haya ya stop order na mahakamani naamini umesoma tu hapa kama lilivyoandikwa gazetini unless uniambie upo karibu na mtiti huu hivyo una taarifa za ziada. Kama hapana, sidhani kama unaweza kuhoji kwa authority hatua zilizochukuliwa. Victim (Lwakatare) anaweza kujibu chochote akiwa kwenye disadvatage position pindi anapohojiwa na media. Awali kuna mdau alisema huyu mama alikataa wito wa kufika mahakamani, unajuaje kama mahakama iliamua kesi ya upande mmoja na baada ya jidgement yeye akaenda kukata rufaa? Kwa hiyo nadhani tusiprolong debate hii kwa mgongo wa mahakama ilihali hatujui kwa uhakika na ushahidi proceeding ya kesi ilikuwaje na status ipoje sasa hivi.
Mkuu haya ya stop order na mahakamani naamini umesoma tu hapa kama lilivyoandikwa gazetini unless uniambie upo karibu na mtiti huu hivyo una taarifa za ziada. Kama hapana, sidhani kama unaweza kuhoji kwa authority hatua zilizochukuliwa. Victim (Lwakatare) anaweza kujibu chochote akiwa kwenye disadvatage position pindi anapohojiwa na media. Awali kuna mdau alisema huyu mama alikataa wito wa kufika mahakamani, unajuaje kama mahakama iliamua kesi ya upande mmoja na baada ya jidgement yeye akaenda kukata rufaa? Kwa hiyo nadhani tusiprolong debate hii kwa mgongo wa mahakama ilihali hatujui kwa uhakika na ushahidi proceeding ya kesi ilikuwaje na status ipoje sasa hivi.
Serikali,rwakatale na huyo mwenye viwanja wote mbuluraz,issue kama hiyo ni kukaa mezani tu!! Kama Mama mchungaji kavamia kiwanja serikali ingekaa kati kufanya win win situation kutafuta mtu wa kati ananue eneo mama mchungaji apate gharama alizotumia na aliedhulumiwa apate gharama ya kiwanja serikali ipate tozo ya kodi ya manunuzi....
yaani hiyo ingekua mfano kwa wengine
wangemkabidhi tu mama kiwanja chake na nyumba wamwambie achukue uamuzi mwenyewe kama atabomoa ama kuzihamisha