Makonda mpiga watu aende kufanya nn? pumb.f. zake huyu dogo.
Nadhani hamjui. Anatafuta sababu za kupigwa marunguhamjui Paul Makonda.
binafsi sidhani kama mch. Gwajima amekurupuka katika kauli yake. Nadhani kuna jambo na ndo maana amegoma kwenda kwa kamati inayoongozwa na makonda. Ikumbukwe kuwa makonda mwenyewe hana nidhamu kwani kipindi fulani aliwahi kuporomosha mvua ya matusi kwa viongozi wetu lakin hakuna jeshi la police wala kamati ya ulinzi na usalama iliyomwita kumuhoji.
Sheria za nchii zina macho kama ya kova.
Kumbe hata nyie mnajua Makonda hana sababu ila anatafuta sababu ndio maana tunasema Makonda hana sababu za msingi za kumuita mtumishi wa Mungu.Tambua kuwa makonda anasaka Sababu ya kumfukuza Gwajima pale Kawe, sasa alitoa Amri ya kuripoti akiamini kuwa Gwajima lazima ataipuuza hivyo wao kupata Sababu ya kwenda kumtoa nduki.
Kumbe hata nyie mnajua Makonda hana sababu ila anatafuta sababu kwa hiyo mnafikiri Makonda anafanya sawa?
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
Mchungaji wa makanisa ya kipentekoste mch. Josephat Gwajima amesema hatapoteza muda wake kwenda kumuona Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Amesema barua aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya imemfedhehesha na kasema hataijibu itajibiwa na maombi ya mnyororo yanayoendelea.
Chanzo: Kutoka magazetini.
What happened to 'Tiini mamlaka zilizopo maana zimewekwa na Mwenyezi Mungu?'
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
Kawadanganje wajinga wenzako toa kifungu kinachompa mamlaka dc kufuta ngo acha ujinga wewe
Under which law?
Kwani anachomwitia kimeshajulikana mkuu, huo ndo mfumo wetu wa kiutawala DC ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama katika wilaya husika na mara nyingi huwa upande wa wananchi hasa pale migogoro yoyote inapotokea maana si kila sehemu lazima polisi pekee wahusike, kuna mazingira anaingia yeye pia ili aweze kujiridhisha kwa maslahi ya umma. Anachokuambi East African Eagle ni suala la kimfumo tu na ndio maana hata wewe kama polisi wanakuonea kuna mazingira kama kosa sio la jinai au la kubabikizwa au mtu amekudhulumu alafu kuna mtu analitumia jeshi kukukandamiza kikubwa lisiwe limefika mahakamani unatakiwa ukimbilie kwa mkuu wa wilaya kama taratibu za maofisa wa jeshi wameshindwa kutatua kikubwa uwe na vielelezo. Labda tatizo DC ni MakondaKuwa mkuu wa wilaya sio warranti ya kutenda mambo kilevi yasiyofuata sheria hata yeye yuko chini ya sheria lazima afuate utawala wa sheria rule of law.
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
Nini lengo hasa la kamati hiyo wakati tayari ameshahojiwa na polisi kwa jambo hilo hilo na leo amekwenda Ostabay polisi kuendelea na mahojiano,Gwajima kaitwa kisheria jopo la kamati ya ulinzi na usalama la wilaya lenye wajumbe kama 20 linamsubiri hajaitwa na makonda kama makonda