Mbona kamanfda Kova hana muumini wala mfuasi wake hata mmoja mbona alipomwambia Gwajima aende kuripoti kwake mbona Gwajima alienda mbio tena kwa miguu baada ya kuona foleni ya magari inamchelewesha?
Kwenye mambo ya NGO mkuu wa wilaya ana nguvu kuliko Kamanda KOVA.
Gwajima anachezea moto.Hamjui mikuu wa wilaya ni nani anadhani naye ni mmoja wa hao misukule wake.Shauri yake wale mnaomuunga mkono asiende msije kuja kupiga yowe hapa tena kulalamika
acha mikwala dogo unaongea na watu wazima,a.k.a mtu mzima hatishiwi nyau
Hana adabu tu yule. Kama waliona jembe wewe tu.Gwajma ni jembe kama Tundu lissu.
Nadhani ni kuingilia upelelezimakonda aseme anahitaji posho ya kikao. kama polisi wameshamuhoji yeye anataka nn? anakuja pupa na ufinyu wake wa mawazo
Kwa nini alipandisha presha na kulazwa ICU kama hatishiwi nyau we msukule wake
Makonda yeye ni mwenyeki wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Kinondoni, pengine ana Ajenda zake lakini kubwa zaidi anajua Gwajima lazima angegoma kwenda Ofisini kwake hivyo iwe rahisi wao kupata sababu ya kumfukuza Wilaya ya Kinondoni, Gwajima uwe makini kwa hili.
Hivi unatakiwa kwenda kuhojiwa polisi ama kwa mkuu wa wilaya? huyu makonda analewa madaraka ,ila kujifunzia mamlaka aliyonayo kwa mtumishi wa Mungu ni hatari sana kwake hata kama anatumiwa na wataka uraisi.... Mtumishi gwajima maombi yaendelee....Binafsi sidhani kama Mch. Gwajima amekurupuka katika kauli yake. Nadhani kuna jambo na ndo maana amegoma kwenda kwa Kamati inayoongozwa na Makonda. Ikumbukwe kuwa Makonda Mwenyewe hana nidhamu kwani kipindi fulani aliwahi kuporomosha mvua ya matusi kwa viongozi wetu lakin hakuna Jeshi la Police wala Kamati ya ulinzi na usalama iliyomwita kumuhoji.
Sheria za nchii zina macho kama ya Kova.
Mtumishi gwajima maombi yaendelee....
Anafuta baada ya kupata mapendekezo toka wilayani ujue.Shauri yenu.Nyie komaeni tu kumshauri kuwa asiende kumwona mkuu wa wilaya akiitwa.Wizara ya mambo ya ndani ina ofisi kwa mkuu wa wilaya pia.Mkuu wa wilaya akikuita ni sawa na kuambiwa unaitwa wizara ya mambo ya ndani ila ile iliyoko wilayani.Kugoma kwake atajijua.
Nobody is loved or hated by anybody in this country because of religion.Gwajima is hated because of using abusive language!!! You want to twist things and declare Gwajima a saint while he is not.
Ukifuta kanisa utakuwa unasababisha hisia za kidini ambayo haitaketa afya ndani ya taifa yetu.
Akihamia hiyo wilaya ingine Makonda hatakuwa na uwezo juu yake LAKINI AKIWA NDANI YA WILAYA YAKE YUKO CHINI YAKE
Kesi ya kukashifu ni kesi ya madai na DC has nothing to do with it
Hebu fikiria GWAJIMA angetukana sheikh mahema yake pale kawe yangeshapigwa moto na waumini wake kupigwa nondo na angekuwa wa kwanza kukimbilia kwa makonda kuomba msaada wa ulinzi.Sasa hii tungekuwa tunaongelea marehemu Gwajima.Sheikh wala asingeebda polisi wala mahakamani.Maneno yake yanaletea uvunjifu wa amani na kukosesha utengamano wa kidini kinondoni.
Shukuruni wakatoliki wakimya na wako kwenye mfungo lakini ngoja wafungue