Mch. Gwajima ahoji uwepo wa msikiti katika public airport

Mch. Gwajima ahoji uwepo wa msikiti katika public airport

Status
Not open for further replies.
Kumbe huyu mshkaji ndo Gwajima? Mbona ukiangalia macho yake tu anaonyesha msanii a.k.a mchumia tumbo?

Sasa hapo hoja yake hasa ninini?
Kumbe inaonekana uelewa wake Mdogo' maana hajui kama Mungu ni mmoja' makanisa na misikiti ni kama daraja tu lakumfikia MUNGU.

Alafu kwani kila penye msikiti lazima pawe na kanisa au kila penye kanisa lazima pawe na msikiti?

Aliwahi kuomba nafasi hapo airport akanyimwa?

Ebwana mshkaji wangu hii ni dalili mojawapo yakuonyesha kwamba umeishiwa mbinu na hoja zako ni mfu.
 
maajabu ya dunia kiongozi wa dini anapohoji uwepo wa sehemu ya ibada. Mi kwa uelewa wangu mdogo nilidhani viongozi wa dini wanafagilia uwepo wa nyumba za ibada popote pale inapowezekana ili watu wengi zaidi waweze kuabudu na kumtukuza mwenyezi mungu...

Huyu anko kidevu wa mtoto wa flora mbasha ana mambo kweli, sijui ameipata barua ya wazi ya emma mbasha?
vita ya kidini ni hivi hivi inaanzaga...so tudhibiti hii hali
 
Kumbe huyu mshkaji ndo Gwajima? Mbona ukiangalia macho yake tu anaonyesha msanii a.k.a mchumia tumbo?

Sasa hapo hoja yake hasa ninini?
Kumbe inaonekana uelewa wake Mdogo' maana hajui kama Mungu ni mmoja' makanisa na misikiti ni kama daraja tu lakumfikia MUNGU.

Alafu kwani kila penye msikiti lazima pawe na kanisa au kila penye kanisa lazima pawe na msikiti?

Aliwahi kuomba nafasi hapo airport akanyimwa?

Ebwana mshkaji wangu hii ni dalili mojawapo yakuonyesha kwamba umeishiwa mbinu na hoja zako ni mfu.

Kapagawa baada ya Frola kukomaa aludi kwake sasa anahaha jinsi ya kuimaliza ile kesi ya kubaka aliyoibuni ili Mbasha afungwe yeye achepuke na Frola bila maswali, akili zinamwenda mbio ndio Maana anachachawa sasa.
 
jamaa anataka kudivert mawazo ya watu toka kwenye issue ya mbasha.
 
vita ya kidini ni hivi hivi inaanzaga...so tudhibiti hii hali

Hakuna shaka kwani aliyeanza ***** ***** si Msafi hata aseme nini kusikilizwa itakuwa mbinde,kashwindwa kumdhibiti Frola asiludi kwake ndio ataweza mengine?
 
Kwanza tunataka kujua uhalali kukusanya saadaka huyu mzee analiwa tigo kwani hii nchi yake nani kampa mamlaka ya kuhoji?

kwani ni mzee huyo ngwajima?,mbona amekaa kaa kama msela nondo fulani tu?
 
jamaa anataka kudivert mawazo ya watu toka kwenye issue ya mbasha.

Ni kweli anajaribu kupindisha upepo lakini hawezi Huo ni Mziki mnene , alikaa na Frola mbasha na Wachungaji wengine wakamsaidia Emmanuel mbasha maujanja ya kujinasua aliposikia akamrejesha frola haraka hawezi shindana na mvua.
 
Gwajima kama kiongozi wa dini anayo haki ya kuhoji hili. Naamini ametembelea nchi nyingi na kuona viwanja vingi via ndege na kwa hivyo sidhani kama amekurupika kuhoji suala hili. Wakristu Tunataka kuona kanisa pale airport.
 
msukule@ work
 
Msameheni huyo mchungaji bure. Kwanini kawek Bendera ya Israel kwenye madhabahu yake wakati waisraeli sio wakristo? Waisrael wanaupinga ukristo na wala hawaamwanini yesu
 
Gwajima kama kiongozi wa dini anayo haki ya kuhoji hili. Naamini ametembelea nchi nyingi na kuona viwanja vingi via ndege na kwa hivyo sidhani kama amekurupika kuhoji suala hili. Wakristu Tunataka kuona kanisa pale airport.

Uwepo wa msikiti hapo airpirt nijambo lililofuata utaratibu sidhani kama kuna mkiristo alieomba na kufuata taratibu za uwepo wa kanisa..
Nivyema ukaungana na gwajima mukaenda kujua utaratibu wa kupata kanisa.
Lakini musiishie hapo muende wizara ya Fedha mukajue ni kiasi gani wizara hutoa kwa ajili ya kanisa kwa mwaka ili muwaambie kiasi hicho wanachotoa kwa kanisa/ ukiristo watoe pia kwa Miskiti/uislam.
Mukifanya hivyo ndio mutakuwa mumetimiza madai ya gwajima kuwa kodi za watanzia sio za wakiristo tu ni za wakiristo na waislam na wasio kuwa waislam na wakiristo.
Na muwaambie maofisi ya serikali waache kupamba maofisi wakati wa sikukuu za krismas na pasaka tu.
Wajue kama hizo ofisi sio za wakiristo tu ni za watanzainia wakiristo na waislam na wasio kuwa wakiristo na waislam.
Mukifanya hivyo ndio tutawaona kweli nyie niwatu munao penda haki na uwiyano wa haki.
Sio kulalamikia msikiti wa air port tu.
 
Ivi uyu Gwajima alifika darasa la ngapi? Ivi alifika secondary huyu?

Kumbe anatambua Public ni kwa wakiristo tu!
Viongozi wa dini wengi wao vimeo!
 
Video mbili za jumapili ya tarehe 22/06/2014; zikimnukuu mch. Gwajima akihoji uwepo wa msikiti katika public airport!!

video 1

[video=youtube_share;jr0yQ1wtxNA]http://youtu.be/jr0yQ1wtxNA[/video]

video 2

[video=youtube_share;1dPTMo0lS8E]http://youtu.be/1dPTMo0lS8E[/video]

Tanzania haina dini,uwanja wa ndege unaomilikiwa na serikali haupaswi kuwa na jengo la ibada la dini moja tu huu ni upendeleo,vinginevyo yajengwe makanisa,mahekalu ya wahindu,Buddha,yoga,na sehemu za wapagani kutambika
 
Shida waislam watupu ndo mmecoment humu, kwani mchungaji kuuliza hivo shida nini mbona shehe ilinga kapungu alihoji vitu vingi na hamkumtukana, wajahidina. Mchungaji gwajima ni mtumishi wa mungu hata hayo makashfa mnayo mpa sio ya kweli, mshindwr na mdebede in the might name.
 
Mimi ni mkristo ila mwanamazingaombwe sio mtumishi was
Mungu.unajua kwamba unawadhalilisha watumishi wa mungu unapomtaja gwajima kuwa naye ni mtumishi wa mungu.mtamfanya hata hayati kulola amwage machozi huko mbinguni
 
[h=2]San Fran airport’s garage now a mosque complete w Islamic foot bath[/h] Posted on June 10, 2013 by creeping
Praying for our demise. via Airport’s garage now Muslim house of worship | Matier And Ross | an SFGate.com blog. h/t

​
Here’s a sign of the changing times — Muslim cabbies now have their very own place at San Francisco International Airport to wash their hands and feet before they pray.

Under Islamic law, Muslims are required to pray five times a day — a ritual that also calls for a ceremonial cleansing.
For many cab drivers, that’s meant either lugging bottled water around or using one of the bathrooms inside the terminal to wash — a practice not always welcomed by airport passengers.
So Royal Cab driver Hasan Khan, 52, a Pakistani immigrant, collected some 300 signatures from fellow cabbies, urging the airport to give them their own cleansing station.
Airport brass obliged — and the wash equipment was installed on the ground floor of the main garage, right next to where the drivers congregate for their breaks.
“The way we look at it…this was in the interest of maintaining a good relationship with ground transportation providers,’’ says airport spokesman Doug Yakel.
As for using public resources?
Yes, your taxpayer dollars are being used. But as usual, for Muslims, it’s ok.
Yakel says the costs were nominal, with the work done by in-house plumbers.
As for Khan, he recognizes not everyone might appreciate the religious accommodation. But then he points out that Christians generally pray at church on Sundays — while for him and his fellow working Muslims, the ritual is woven into their daily routine.
And from the looks of things, they’re grateful.
“We are very happy,’’ said Ahmed Algazali, 49, a fellow driver from Yemen as he prepared to join Khan for a late-afternoon garage prayer.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom