TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Isaya 33:1 "Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa, utendae hila wala hukutendwa hila! Utakapokwisha kuharibu, utaharibiwa wewe; na utakapokwisha kuharibu, utaharibiwa wewe na utakapokwisha kutenda kwa hila, wao watakutenda hila wewe." Mungu yuko kazini na bado anasema hata sasa.
 
hivi kimark two kama hicho hadi kinaanguka chali,inakua inakimbia speed kubwa kiasi gani???,,,,


Hujawahi ona mtu na baiskeli ya kawaida anaanguka na KUFA...!!! Baiskeli ina speed kubwa kiasi gani...?

STOP using low IQ to think...!!!

Ikifika kifo, hata bafuni unaanguka UNAKUFA TU...!!!

KIFO kikifika, kimefika... cha msingi tuchunge NDIMI zetu... sbb whatsoever will happen watu wataanza kusema UNAONA alisema hivi na vile... sasa yamemkuta.. au sasa yametokea...!!!

Ulimi, kiungo kidogo sana, ila MATATIZO YAKE MAKUBWA SANA...!! Ndimi huumba, na ndimi hubomoa...!!!

Chunga sana mdomo wako, kwani ni HAPO SHETANI ANAPITIA SANA...!!!

So, watu wanaongea saana hapa sbb Mtikila alisema maneno mabaya ya kumtabiria kifo Lowassa... ndio maana watu wana discuss sana, ili kutoa FUNZO... kuwa MUNGU HADHIHAKIWI KAMWE...HAKUNA MWENYE HATI YA KUISHI MILELE... WOTE NI WASAFIRI... TUSAFIRI SALAMA...

TUACHE kuongelea maneno maovu sana eg. FULANI ni Marehemu au jeneza linalotembea..etc etc...

Mungu anaudhika sana sanaa...!!!

So, Mungu mwacheni aitwe Mungu...!!!
 
Hapa ndio tunakumbushwa kuwa ni Mungu pekee ndie anayejua kesho,na usimuhukumu mwenzako eti kesho atakufa kwa tu yu mgonjwa na wewe u mzima.
 
Ndugu zangu habari za asubuhi,
Hii ni kutokana na kifo cha mwanasiasa maarufu nchini Mch. Mtikila aliyefariki mapema leo. (Rip) je sheria zinasemaji kwani huyu naye alikuwa ni mgombea wa urais. Na je serikali ilichelewa kufungua vyuo adi uchaguzi upite kwa sababu best known to them, je ni nimi hatima ya uchaguzi na je wataweza kufungua vyuo?
Mtikila hakuwa mgombea urais. Chama chake kilikosa vigezo. Mgombea mwenza wake wa kutokea zanzibar alipata matatizo akachelewa kuwasilisha document muhimu. Tume ikawa disqualify. Kwahiyo uchaguzi upo pale pale
 
Ewe baba ulie mbinguni umpokee Mzee wetu Raia wa Tanganyika iliyo huru ndugu Mchungaji Christopher Mtikila. Ee Baba pia umlinde Mchungaji aliyebaki ndugu Wilbroad Slaa na umuepushe na hili Picha za Vifo vya Ajali chini ya Sterling MR. Makengeza.

Chacha Wangwe, Grace Mbowe, Regia Mtema na Mohammed
Mtoi laleni mahala pema peponi Ameen. Huku duniani wakaskazini wameanza tena na matukio yao ya kimafia
 
  • Thanks
Reactions: AAS
Ni kweli si vizuri kufurahia kifo cha mtu familia ya marehemu na jamaa zake wa karibu wana majonzi lakini pia si vizuri kumwita mtu aliye hai hasa mgonjwa kuwa ni jeneza linalotembea kwani hiyo ina majeraha makubwa kwa familia na jamaa wa karibu na mgonjwa huyo mbaya zaidi inaweza kumuathiri mgonjwa na hata kusababisha kifo chake wito wangu ni kwamba tuache kudhiaki wagonjwa badala yake tuwafariji hali kadharika tuache kudhiaki marehemu badala yake tuwafariji wafiwa

CCM hakuna aliebaki hajamtukana Lowassa viongozi na makada wote wa ccm sera na Ilani yao ni matusi kwa Lowassa. Kua nzia NAPE, YUSUFU MAKAMBA, JOSEPH MSUKUMA, MANGE KIMAMBI, MWIGULU, LUSINDE,MAKONGORO NYERERE, Wengine wengi. Ila tayari ni laana.
 
Jingine ni kwamba ccm inatumia nguvu kubwa kujinadi kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii;lakini dalili za kushinda haziko wazi.
 
Ewe baba ulie mbinguni umpokee Mzee wetu Raia wa Tanganyika iliyo huru ndugu Mchungaji Christopher Mtikila. Ee Baba pia umlinde Mchungaji aliyebaki ndugu Wilbroad Slaa na umuepushe na hili Picha za Vifo vya Ajali chini ya Sterling MR. Makengeza.

Chacha Wangwe, Grace Mbowe, Regia Mtema na Mohammed
Mtoi laleni mahala pema peponi Ameen. Huku duniani wakaskazini wameanza tena na matukio yao ya kimafia
Kifo cha Mtikila hata hakihuzunishi, alikuwa kigeugeu sana!
 
Je waliomsema JK ni vipi????

Queen Esther

Kuna aliyemwita JK marehemu? JK alimshukuru Mungu au alifanya nini? Kuna jambo mmepigwa nalo Upofu kabisa na hamtaki kuambiwa.
Pamoja na Matusi yote ya kusema yeye ni Marehemu,n.k., Lowassa hajajibizana na wanaomtukana, amemshukuru Mungu wake na kumwachia yeye suala la Afya yake. Kwa mwenye uelewa kuhusu neno la Mungu anaweza kuelewa haya, si kila asemaye ana Mungu basi ana Mungu ndani yake, na ogopa mtu aliyeamua kumnyenyekea Mungu na Kumkabidhi maisha yake, Mungu anasema, atakayemgusa mtu wa namna hiyo basi aigusa Mboni ya Jicho lake Mungu, naamini unajua unapoguswa mboni ya jicho reaction yako inakuwaje!
Soma Biblia yako vizuri, mwombe Roho Mtakatifu akupitishe hatua kwa hatua, bado unahitaji kujifunza saana kuhusu Mambo ya Mungu, na katika haya be You, weka pembeni influence yoyote, na Mungu akusaidie!
 
Back
Top Bottom