MC, usafiri, mapambo, mavazi, ukumbi

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
810
707
Habari wanaJF, natafuta watu niliwaolozesha hapo juu kwa kuwatangazia kwenye website free kwa mwaka huu wote, nimengeneza website ambayo itarahisha mchakato mzima wa mambo ya harusi na seminar kwa kupata mambo yote kwenye website moja. No vikao tena kwenye mambo ya kupanga mchakato wa harusi, ni kusambaza kadi tu maana kila kitu kimekuwa display kwenye website kusiana na mambo ya bei ya ukumbi, mc&muzik,mapambo,saloon,kadi, keki n.k. Kwa mawasiliano zaid nichek kwenye namba hii 0652247221
 
Back
Top Bottom