MC CHIPOLOPOLO UMEKUWA TAPELI

MC CHIPOLOPOLO UMEKUWA TAPELI

Joined
Jul 8, 2026
Posts
37
Reaction score
75
Mimi ni mmoja wa wanakamati wa harusi ya mdogo wangu inayofanyika siku chache kwanzia sasa, umepokea pesa huonyeshi ushirikiano ? Je ni uungwana mpaka nakuja huku kulalamika ujue kwamba unataka kuharibu sherehe ya ndugu yangu.

Sasa kiingwana mtu wa karibu wa MC chipolopolo mwambie hiyo hela almost 1M hutafika popote na unazidi kuharibu Brand uliyotengeneza Muda mwingi sana
 
Hiyo almost 1m ni advance au malipo yote kwa mkupuo?

Kuna mkataba wowote mliingia kabla ya kulipa fedha?

Muda mwingine wabongo mnajuana. Mlipaswa kuingia mkataba na kumlipa hela ya kishika uchumba tu. Hela nyingine mlipane baadae kazi ikishatamatika.

Kwa kuwa huyu ashaanza longolongo na inaonekana dhahiri ninyi mshaanza kujaa maji kwa sababu ya MC, basi tafuteni mbadala kwa haraka sana.

Kama bajeti ipo Limited, basi tafuteni wa bei ya jioni (nafuu) kwa kutumia hela ya dharura. Huyo aliyechukua hela mtadili naye baadae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom