Mc anatafutwa

Mc anatafutwa

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Jamani wanajamvi,habari wote,poleni na majukumu ya kazi
Samahani kama ntakuwa nimemkwaza mtu,

Kwa yeyote anaejua MC Mzuri,yaani best MC IN DAR,Kwa Vigezo vyote maadam jamii imemkubali,anahitajika.
je nitampataje? najua wapo wengi sana sana,but am looking for best ones.AS SOON AS POSSIBLE.
 
Subiri wanakuja
HAYA
Tunawasubiri, ukiondoa Mc Chris Mauki,Luvanda hawa wote hawapo,so kama wanaweza kupatikana designe hii wengine,hawa mmoja anasoma mwingine yuko FULL OCCUPIED whole this year 2013
 
huyo anaye soma si mchukulie ticket mara moja atakuwa amefika hapo!afterall south si ni masaa machache anarudi kupiga shule yake!
 
samueli sasali ,kuna hariss kapinga sema huyu sio mzuri sana muuza sura tu hajui kupamba harusi...kibonde na mimi
 
wanapatikana vipi? Contact zao?
 
the best mc inategemea na taste yako husika,note that!

pili tanua wigo wako,unaweza kupata mc mzuri sana hata kutoka nje ya dar

cha mwisho epuka neno best litakunyima raha siku ya harusi,mfano ukiambiwa mc chizenga is the best halafu ukanipigia ukakuta nipo booked unajua kitatokea nini kwa mc mwingine atakayekufanyia kazi?
 
ahaaaa kwanza huyo mauki ..sometimes mnakubaliana siku ya event anatuma mtu..
the best mc inategemea na taste yako husika,note that!

pili tanua wigo wako,unaweza kupata mc mzuri sana hata kutoka nje ya dar

cha mwisho epuka neno best litakunyima raha siku ya harusi,mfano ukiambiwa mc chizenga is the best halafu ukanipigia ukakuta nipo booked unajua kitatokea nini kwa mc mwingine atakayekufanyia kazi?
 
kuna jamaa mmoja naskia ni HR wa sijui Ngo gani kama sio Care international basi ni Africare anaitwa Peter yuko vizuri tu
 
huyo anaye soma si mchukulie ticket mara moja atakuwa amefika hapo!afterall south si ni masaa machache anarudi kupiga shule yake!
namuacha amalize Phd Yake bwana......
 
the best mc inategemea na taste yako husika,note that!

pili tanua wigo wako,unaweza kupata mc mzuri sana hata kutoka nje ya dar

cha mwisho epuka neno best litakunyima raha siku ya harusi,mfano ukiambiwa mc chizenga is the best halafu ukanipigia ukakuta nipo booked unajua kitatokea nini kwa mc mwingine atakayekufanyia kazi?
Yaa kweli unachosema.....
nilitumia neno the best kumaanisha kitu kizuri au makini.but si maanishi wengine sio best,unajua hii ni perception tu ya mtu anavyomkubali mtu....but jamii huwa ina judge yupi anafaa vema kwa wastaarabu....
 
Back
Top Bottom