Mbwa anayeongea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbwa anayeongea

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Washawasha, Mar 15, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Kuna rafiki yangu nilisoma naye shule ya msingi nikakutana naye jana na kuniambia ya kuwa kazi yake ni kuwafundisha wanyama mbalimbali jinsi ya kuongea na hata kupokea simu ndipo akanipa namba yake nimpigie kama siamini,ndipo nikaamua kumpigia ili kumsikia huyo huyo mbwa akiwa anaongea,lkn rafiki yangu aliniambia huyu mbwa hujibu hivi
  KEYS:
  WU WU=NDIO
  WU WU WU=HAPANA
  HA HA HA HA HA =(jinsi mbwa anavyohema)NI KUFANYA TENDO LA UUMBAJI
  Basi mzee nikaruka hewani na mazungumzo yetu yakawa hivi
  MIMI:hallo
  MBWA:WU WU
  MIMI:mzee Mcheji yupo
  MBWA:WU WU
  MIMI:mkewe je naye yupo?
  MBWA:wu wu
  MMI:Wako sebuleni?
  MBWA:wu wu wu
  MIMI:wako jikoni?
  MBWA:wu wu wu
  nikaanza kufikiria usiku huu kama hawapo maeneo hayo watakuwa wapi?nikamuuliza tena mbwa
  MIMI:wako chumbani?
  MBWA:wu wu
  MIMI:wanafanya nini na umeme hakuna ?
  MBWA:ha ha ha ha ha
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Washawasha takumeza sasa hivi unapausua mbavu zangu..WU WU WU
   
 3. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hahahaha dah! kweli noma hadi mbwa analonga!
   
Loading...