Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

Mkuu nawaelewa mno GS. Ni mbwa wakali na nnawakubali 100 Percent kwenye ulinzi zaidi ya binadamu anaeweza kumgeuka hata boss wake.

Naomba unitumie niwaone vizuri,,,na kama yupo pure black asiekuwa na doa nijulishe kiongozi.
hahahah koko ndio anamgeuzia kibao hata bossi wake mkuu,sikufichi hapa majirani wanaonizunguka wameshavamiwa wote lakini hapa kwangu hakuna aliyewahi kutia mguu hata mmoja.
 
hahahah koko ndio anamgeuzia kibao hata bossi wake mkuu,sikufichi hapa majirani wanaonizunguka wameshavamiwa wote lakini hapa kwangu hakuna aliyewahi kutia mguu hata mmoja.

GS ni kiboko ya majambazi. Nitumie na Pure B kama atakuwepo kiongozi.
 
Kuwalisha inabidi uwe vizuri, but looks nice breed

Mkuu.kuhusu lishe isikupe shida,,,nenda ukaelewane na muuza bucha panga nae bei uwe unachukua kwa order kila mwezi unampelekea pesa zake. Kilo ya nyama mchanganyiko na mapafu mifupa n.k,,,ni cheaper sana ukilinganisha na nyama tunayokula. Kwenye chanjo kidogo itakukosti,,,lakini utasave vitu vya thamani kwenye jumba lako.
 
Wanatumia muda gani hadi kuanza kuwa wakubwa?
Natamani niwe nao hata mmoja dume na jike
 
Kwa muonekano wa picha hao sio Pure
Mkuu mimi sikutaka ligi tu na jamaa na pia asije akaona namuharibia biashara yake
bf760c4359a88b52520a6809ffbe13d2.jpg
 
lahasha hayo ni maneno ya mtaani tu!wanakula kawaida mkuu
Uzuri wa mbwa kama hawa, hakuna kitu kinakatiza kwenye boma lako usiku bila ridhaa yao, kuanzia panya, wachawi, nyoka na kila aina ya hatari..walio na uwezo wananunue, ilawawe na uzio, hela ya kuwalisha kidogo, matibabu, mafunzo, utafaidi nao sana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom