Mbuzi wenye mimba wanauzwa

Mbuzi wenye mimba wanauzwa

bahati30

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,625
Reaction score
883
Mbuzi wenye mimba ya miezi 3 wanauzwa, chotara. Kwa mbuzi mmoja ni Shilingi 75,000. Atakayehitaji anitafute kwa namba hii. 0718424824 au 0687040297. Karibuni sana.
 
Hapana ila inatokea wakati anavyoendelea kukua anaweza kuzaa mapacha.
 
Hizo Mimba ni za Madume au Majike?
 
Wewe naona utakuwa na matatizo? Hiv imeishia darasa la ngapi tena?
 
Wewe unakula mbuzi wenye mimba? Kama unafanya hivyo utakuwa umeshauriwa na mganga wa kienyeji. OVER
 
Wasio na mimba unauzaje na kama una ndama wa hao mbuzi unauzaje pia?
 
Back
Top Bottom