mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,580
- 2,990
Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??
Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu kula hawa mbuzi,isije kuwa ni survival mechanism yao mjini wakaambiana ili watoboe mjini basi watunge stori kuwa wao ni mbuzi wa dawa ukijaribu kuwala unakufa.....
Nimeandika hivi baada ya kukutana na kundi la mbuzi hapa ilala wana jeuri balaa wananenepeana tu hawaogopi Chochote!!