B Babu Kijana JF-Expert Member Jan 24, 2013 587 276 Jul 13, 2016 #1 Natafuta mbuzi wawili dume wenye afya bajeti yangu ni elfu 60 kila mmoja, nipo dar. mwenye kuwa nao anipm tufanye biashara.
Natafuta mbuzi wawili dume wenye afya bajeti yangu ni elfu 60 kila mmoja, nipo dar. mwenye kuwa nao anipm tufanye biashara.
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 Jul 13, 2016 #2 Unaweza kuwapata kwa urahisi zaidi Vingunguti, Kiembe Mbuzi.