Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi za ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hizo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii
Acha mafumbo Mkuu,ongea uelewekeSio kweli na haiwezi kuwa kweli. Tunaposema binaadamu anaakili tunamaanisha aweze kupambanua vijambo kama hiovi sio kuvaa na kuvua nguo tu.
Hebu tujuze ndugu. Idadi ya 'chromosomes' za mbuzi ni ngapi?Hii itakuwa habari ya ulozi tu...idadi ya chromosomes za mbuzi na binadamu ni tofauti...
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi ya ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hiyo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii
Mbuzi Mzee, njoo huku utoe maelezo, I'm totally confused:confused2:
they are different species, biologically haiwezekani kutungisha mimba, otherwise yai la mbuzi lime -undergo mutation na kuweza kuadapt conditions za yai la binadamu. Uchawi tu wa watanzania, kama kawaida yao.maajabu ya dunia tz yamejaa.inamaana kuna kidume kimepiga nanihii ya mbuzi
Hii itakuwa habari ya ulozi tu...idadi ya chromosomes za mbuzi na binadamu ni tofauti...