Flynn walter
Member
- Apr 1, 2020
- 33
- 28
Habari ndugu zangu, nimekuwa nikifutiwa na kilimo pamoja na ufugaji kwa muda mrefu sana.
Nataka nianze na ufugaji kwanza natafuta mtu wa kuniuzia mbuzi 50 kwa bei nzuri, na kama bei itakuwa nzuri zaidi ntachukua mbuzi 100 wa kuanza nao. Nitajie bei yako ( whatsapp contacts 0685068828 )