makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,768
- 103,719
Wanapatikana wapi?Huwa ni 70-100k Ina range hapo
Wanapatikana wapi?Huwa ni 70-100k Ina range hapo
Mcheki Nikifa MkeWangu Asiolewe kasema geita wapo, ila hata tabora uki pata connection ni Penyewe.Wanapatikana wapi?
Yani ufate mbuzi Geita kwa bei ya laki moja wakati unaweza kununuwa Kilosa kwa bei chini ya hiyo?Mcheki Nikifa MkeWangu Asiolewe kasema geita wapo, ila hata tabora uki pata connection ni Penyewe.
Habari Mkuu,Hongera kwa harakati za ufugaji.Samahani Hivi Hapo Simiyu Siwezi Pata Pori (Nitalisafisha) au Shamba nifanye Mradi wa kufugia? 2.Vip hali ya hewa huko ni nzuri?Nina mbuzi 700 hapa simiyu.kwa Kila mmoja nauza Kwa laki sita tu.karibu mwana Dar es salaam nikuuzie mbuzi walionona.
Wanakidhi sifa tajwa?Yani ufate mbuzi Geita kwa bei ya laki moja wakati unaweza kununuwa Kilosa kwa bei chini ya hiyo?
Kwenye mapori ya kibaha tu kuna wamang'ati kibao.
Sifa gani?Wanakidhi sifa tajwa?
Unataka heka ngapi? Simiyu mbali hapo wilaya Mkuranga na Kisarawe kuna mapori ya kutosha tu.Habari Mkuu,Hongera kwa harakati za ufugaji.Samahani Hivi Hapo Simiyu Siwezi Pata Pori (Nitalisafisha) au Shamba nifanye Mradi wa kufugia? 2.Vip hali ya hewa huko ni nzuri?
Mimi Niko Kilimanjaro MkuuUnataka heka ngapi? Simiyu mbali hapo wilaya Mkuranga na Kisarawe kuna mapori ya kutosha tu.
Ni maoni tu mkuu, mbuzi wa tabora tulio pata pale wako vizuri.Yani ufate mbuzi Geita kwa bei ya laki moja wakati unaweza kununuwa Kilosa kwa bei chini ya hiyo?
Kwenye mapori ya kibaha tu kuna wamang'ati kibao.
Mbuzi bossHii ni bei ya ng'ombe au mbuzi?
Mbuzi boss
Kuna mbuzi wa South Africa wanaitwa Boer na kuna Kalahari na Savanna hawa ni wakubwa sana wana uzito mpaka zaidi ya kilo 100
Bei zao ndio 3m kwa dume na jike ni 2m
Wapo wale wa Somalia wanaitwa Gala wao dume ni laki tatu na nusu
Atakaepata bei za chini tushtuane hapa
Ila wapo F1 ambao ni mchanganyiko bei zinakuwq chini
Nitafutie basiKausha basi
Inawezekana watu wanatoa hadi uganda. unapoanzisha ufugaji cha kwanza huwa tunaangalia sifa(mbegu) za wanyama unao taka kufuga.Yani ufate mbuzi Geita kwa bei ya laki moja wakati unaweza kununuwa Kilosa kwa bei chini ya hiyo?
Kwenye mapori ya kibaha tu kuna wamang'ati kibao.
Exactly 💯Inawezekana watu wanatoa hadi uganda. unapoanzisha ufugaji cha kwanza huwa tunaangalia sifa(mbegu) za wanyama unao taka kufuga.
Watanzania tuna asili ya utapeli mkuu mtu anaacha kufanya kazi zake zote na kuanza kupunguza mdomo wa chotara la kuchi ili ufanane na kuchi halisi lengo tu akuibie.Exactly 💯
Tena ni rahisi zaidi na pia wana makaratasi yote mpaka walipotoka kama ni SA
Hakuna ujanja ujanja kama wabongo
UG wapo wafugaji wazuri sana na wanakupa historia yote ya mifugo kwa uhakika
Kama ni F1 utaanbiwa pia
Ila sisi sasa utauzia F1 kama mbuzi ya bila kuchanganya
Wengine wanajisifia kuwa wanao Boer lakini ukiangalia picha na video clip unaona kabisa sio Bongo bali South Africa
Sijui kwanini waongo waongo sana
Inataka kufuatilia sana haya
Kuna watu nawajua hata madawa wanaagiza toka SA
Mkuu hawa wa kuuzwa kwa bei hii wana nini cha ziada?Bei zao ndio 3m kwa dume na jike ni 2m
Wapo wale wa Somalia wanaitwa Gala
Hahahahahaa. Nimecheka sana. Ila wabongo balaa.Watanzania tuna asili ya utapeli mkuu mtu anaacha kufanya kazi zake zote na kuanza kupunguza mdomo wa chotara la kuchi ili ufanane na kuchi halisi lengo tu akuibie.
Unanunu kuchi mara anaanza kubadirika
Ndio kwa Banda la ndaniDar es salaam pale poster kweli utaweza kufuga mbuzi kweli?