Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,925
- 831,355
Huyu dada ni mgonjwa kuna kitu kwenye saikolojia kinaitwa vurugu za kimaono !huyu ana hilo tatizo ,ana udhaifu/upungufu fulani kimaumbile hivyo hufanya kila awezalo kujionyesha kuwa yupo sawa na ni super woman...!ugonjwa huu hauambukizi lakini pia hautibiki ! Shilole na mastaa wengi wana hili tatizo