naam uzi ufungweAliyezoea kula samaki chumvi toka utotoni ukimletea samaki baridi kiuhalisia huona hawafai.
Vivyohivyo kwa sisi tuliozaliwa na kukulia mwambao wa ziwa victoria, samaki wa baharini huwa tunaona jau sana ile radha na shombo lake pale unapoanza kuwala.
Ni mazoea tu, naamini hata leo hii ukimpelekea Mama yangu aliyepo Mwanza samaki wa baharini sidhani kama atapendezwa nao make kazoea wa ziwani toka kuzaliwa kwake.
Si aache soko liamue? Anauhakika gani kama kila mtu huko Zenji (yaani pamoja na tourists na Watanganyika wote wanaoishi huko) hali hao samaki, au ndiyo chuki kwa Watanganyika wanaoishi huko wasipate samaki wanaowataka.Nimekutana na hii video on social media hadi nimeshangaa
Kwani samaki wetu wana shida gani 😳
View attachment 3546873
Zanzibar kuna wageni kibao wanaohitaji hao samaki toka fresh water.Aliyezoea kula samaki chumvi toka utotoni ukimletea samaki baridi kiuhalisia huona hawafai.
Vivyohivyo kwa sisi tuliozaliwa na kukulia mwambao wa ziwa victoria, samaki wa baharini huwa tunaona jau sana ile radha na shombo lake pale unapoanza kuwala.
Ni mazoea tu, naamini hata leo hii ukimpelekea Mama yangu aliyepo Mwanza samaki wa baharini sidhani kama atapendezwa nao make kazoea wa ziwani toka kuzaliwa kwake.
Kama ni hivyo mbona bado samaki wa Mwanza wanapelekwa Zanzibar na wananunuliwa?Aliyezoea kula samaki chumvi toka utotoni ukimletea samaki baridi kiuhalisia huona hawafai.
Vivyohivyo kwa sisi tuliozaliwa na kukulia mwambao wa ziwa victoria, samaki wa baharini huwa tunaona jau sana ile radha na shombo lake pale unapoanza kuwala.
Ni mazoea tu, naamini hata leo hii ukimpelekea Mama yangu aliyepo Mwanza samaki wa baharini sidhani kama atapendezwa nao make kazoea wa ziwani toka kuzaliwa kwake.
Kilaza Hugo hajui kuwa satisfied na sangara wana develop haha using wa motto ktk ukuaji..?!Nimekutana na hii video on social media hadi nimeshangaa
Kwani samaki wetu wana shida gani 😳
View attachment 3546873
Tushazoea kula ngisi na pwezaAngel Nylon kuja hapa...
Sasa hivi yanafaulishwa vizuri fuatilia matokeo toka aingie madarakanihaya majamaa ndio maana hata kwenye mitihani ya taifa yanakuwaga ya mwisho
Ila pesa ya Tanganyika wanataka na kuitumia sana.Nimekutana na hii video on social media hadi nimeshangaa
Kwani samaki wetu wana shida gani 😳
View attachment 3546873