Swadakta, Kila kitu hatari na kibaya MAGUFULI mnyonge mnyongeni haki zake mpeni. Magufuli hayupo kwenye mchakato wowote Iramba,singida nk na sauti ya mwisho ni yawairamba
Wanairamba au wapiga kura wowote ndani ya nchi hii hawana sauti zaidi ya rais kwenye uchaguzi. Hilo unataka hutaki ukweli ndio huo.
Ndiyo maana Mwigulu anatakiwa kujitengenezea mazingira ya ama kuachana na siasa kwa wakati huu au kufikiria kuwapigia magoti wapinzani ili JPM akimkata awe na tawi la mti mwingine alishike. Harakati hizo azionesha sasa naawe Mwanaume wa shoka asiwe mnyonge kwa JPM.Wanairamba au wapiga kura wowote ndani ya nchi hii hawana sauti zaidi ya rais kwenye uchaguzi. Hilo unataka hutaki ukweli ndio huo.
Meona eee?Ahaaa ahaaaa ni sawa na mtu anazifuata timu zote kwenye ligi kila moja kwa wakati wake na kuiambia utashinda ligi, kisha mwisho wa ligi ile iliyoshinda anasema si mnaona nilitabiri!
Kwenye hili la karma, naomba kumtetea Mwigulu.Paskali hapa ni kama unamchora tu Mwigulu. Uzuri hata Mwigulu anaujua ukweli huu kwani naye ameshiriki muda mrefu siasa chafu hapa nchini, hivyo kinachomkuta hivi sasa ni karma.