Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri


Sasa kama hii rushwa iliyoongelewa hapo ni CHADEMA, sijui huko CCM kuna hali gani. Na hapo imeongelewa rushwa ya pesa tu.
 
Huyu mama wa CHADEMA ni mpuuzi. Kwahiyo Mungu anahusika na kutoa rushwa? Aseme tu shetani alimwinua. Asimhusishe Mungu na mambo ya rushwa za huko kwao CHADEMA.
Huyu mama mpuuzi. Anamfahamu Mungu vizuri kweli? Mungu na hizi takataka wapi na wapi?
 
Kuna hii video ya mbunge mmoja anahadithia namna alivyopata ubunge wake.
Mnajifunza nn?
Hawa viti maalum si bora wafutwe tu.
Hawa wakina mama wanaotaka 50/50 si waingie ulingoni ku battle kuwashawishi wapiga kura.
Mnamuelewa huyu mbunge, nyie mnaotafuta viti maalum?
Mtaji ni maokoto ama mi ndio sijaelewa?
Moderator kama ni kosa kulingana na sheria zinazohusu mitandao iondoeni, mi sizijui sheria banah.
 

Attachments

  • VID-20231130-WA0014.mp4
    32 MB
Hii clip inatosha kabisa muda huu kuwa awe ameshahojiwa Takukuru na baadaye kupandishwa kizimbani kwa kutoa rushwa. Nasubiri watu wa haki za binadamu kumuwajibisha kama Takukuru watazembea
 
Aisee kwani chadema kuna haya jamani? Huyu atakuwa muongo tuu anawasingizia chadema!
Hakuna mwanasiasa Tanzania asiyetoa rushwa, iwe chama tawala au upinzani. Nchi inanuka rushwa hii na hii ni laana.
 
Hii clip inatosha kabisa muda huu kuwa awe ameshahojiwa Takukuru na baadaye kupandishwa kizimbani kwa kutoa rushwa. Nasubiri watu wa haki za binadamu kumuwajibisha kama Takukuru watazembea
Kilichonishangaza ni kusema Mungu ndiye aliyemsaidia...Mungu asaidie mtoa rushwa kweli? Daah hizi Imani ni diversed kweli kweli...
 
Aisee kwani chadema kuna haya jamani? Huyu atakuwa muongo tuu anawasingizia chadema!
Soma maelezo vizuri mbona anaeleweka jamani. Alivyoitwa na kigogo Dodoma. Ulipaswa kuuliza huyo ni kigogo wa chama au wa serikali. Ofisi kuu za Chadema ziko wapi? Na maswali mengine machache yanakupa picha ya kigogo huyo
 
Back
Top Bottom