Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Status
Not open for further replies.
yani swity unajitambua ndo mana nakupenda mahari yako ni billion 6 bajeti ya wizara ya mapenzi

Ha haaaa uwiiii usije tu ukaingia mitini nikapata aibu uniambie mapema tu nitafute kitanda aghakan. Ila badae unitafute tu tugawane hiyo michango angalau nifute machozi.
 
Ha haaaa uwiiii usije tu ukaingia mitini nikapata aibu uniambie mapema tu nitafute kitanda aghakan. Ila badae unitafute tu tugawane hiyo michango angalau nifute machozi.

siingi mitini mama ,si unaona wengine wanavyo fyekwa na komba na mwenzake staki hao mimi
 
Duh....huyu wa machemuli amejaaliwa neeema! Yule wa komba kimbaumbau tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom