Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Ndio unafika? Mwambie masai dada aje huku
niliona title nikahic thread haina mashiko kuja nimechelewaje
Last edited by a moderator:
Ndio unafika? Mwambie masai dada aje huku
Kweli pesa mwana haramuuu ukiwa nayo kila kitu bwerereeeee
umeshindwa hata kunitupia hizo picha pm?
hujaziona nikutumie
mnhhhhhh we unataka upele? una kucha?
Yani ni aibuu mnoooo picha chafuuu nimeziona nikachokaaa
Zikowapi? Mbona mimi sijaziona? Ooh mara page ya 6 mara page ya 9 ukienda hamna kitu. Agrrrh!
Umeziona wapi mbona mimi sizioni za Komba ni original za huyu mwenye thread ni uzushi
Hakuna mwanaa
nenda google andika..Swahilitz[Picha za mbunge uchi]
hahahaaaaa dadeki ila ukucha umefichwa pale inaelekea mkunaji ndio anaandaa nazi(huo mshiko) apate kukuna nazi,teh teh issue je kikunio itakuna nazi?ZionGate........kipele kimemkosa mwenye kucha,huo mshiko waitwa mkuno.Siunajua kifuu cha nazi kinavyoshikwa katika kikunio basi kifuu kinatakiwa kizungushwe.