cantonna
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,120
- 439
MH. baada yakuondolewa bungeni amerudi Jimboni na kuleta kampuni toka ISRAEL. ambayo inajenga barabara kipande kutoka SUCA kilichopo jimboni kwa JOHN MNYIKA mpaka GOLANI ambapo ni jimboni kwake.... MH. KUBENEA.
NILIKUWA NAOMBA MNO WABUNGE WOTE WA UKAWA WAPEWE ADHABU ILI TUPIGE KAZI SASA MAJIMBONI KWETU MAANA HUU NDIO MUDA WENYEWE MANA KAMA MIDOMO WAMEZIBA, NINAJUA WATAHAMIA KWENYE MAJIMBO YENU KUWEKA VIKWAZO.
Kazi inafanyika kwa Ushirikiano Mkubwa WA Wabunge hao vijana chino ya chama chao.
Mungu awape hekima kuliko Za akina Suleiman ili Mtende kwa Uadilifu na weledi.