Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara adai muda wowote Saed Kubenea atajivua ubunge wa Ubungo

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_8201.JPG

Mgombea ubunge katika Jimbo la Ukonga kupitia CCM, Mwita Waitara, jana akiwa kwenye Mkutano wa Kampeni jimboni Ukonga, alidai kuwa, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea aliandikiwa Barua ya kujieleza ni kwa nini anaendelea kuwasiliana na Waitara na pia kwa nini anamhoji Mwenyekiti wa Chama? Waitara alihoji inamaana ndani ya CHADEMA hawaruhusiwi kujadili mambo ya ndani ya Chama chao?
Waitara alisikitikia tabia hiyo ya kuwakataza kujadili matumizi ya ruzuku licha ya wao wenyewe wakiwa wamechangia kupatikana kwa ruzuku hiyo.

Waitara alidai kuwa, muda wowote, Kubenea atajivua ubunge wa CHADEMA na Jimbo la Ubungo litakuwa wazi."
Waitara alieleza kuwa, ndani ya CHADEMA kuna shida, kuna udikteta na hakuna demokrasia.

View attachment 864820

Aende tu kwanza kachelewa,ondokeni nyumbu wote tubakie Simba.
 
Waitara alidai kuwa, muda wowote, Kubenea atajivua ubunge wa CHADEMA na Jimbo la Ubungo litakuwa wazi."
Waitara alieleza kuwa, ndani ya CHADEMA kuna shida, kuna udikteta na hakuna demokrasia.
Waitara Pamoja na kujiunga CCM bado anaitamani Chadema ..
Azungumze ya CCM ndiyo yanamhusu..
OK Chadema Mwenyekiti ni dikteta yeye inamhusu nini?
Tujadili Mwenyekiti wetu aliyejisifu kuwa Kichaa.
 
View attachment 864820

Mgombea ubunge katika Jimbo la Ukonga kupitia CCM, Mwita Waitara, jana akiwa kwenye Mkutano wa Kampeni jimboni Ukonga, alidai kuwa, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea aliandikiwa Barua ya kujieleza ni kwa nini anaendelea kuwasiliana na Waitara na pia kwa nini anamhoji Mwenyekiti wa Chama? Waitara alihoji inamaana ndani ya CHADEMA hawaruhusiwi kujadili mambo ya ndani ya Chama chao?
Waitara alisikitikia tabia hiyo ya kuwakataza kujadili matumizi ya ruzuku licha ya wao wenyewe wakiwa wamechangia kupatikana kwa ruzuku hiyo.

Waitara alidai kuwa, muda wowote, Kubenea atajivua ubunge wa CHADEMA na Jimbo la Ubungo litakuwa wazi."
Waitara alieleza kuwa, ndani ya CHADEMA kuna shida, kuna udikteta na hakuna demokrasia.

Nimesikitika kuona kwenye hiyo picha hata PM akisikiliza na kushuhudia hayo matapishi ya waitara!
 
Hii ya kubenea na mnyika kuna kaukweli tetesi za mda sana hizi
Mnyika alipoa sana baada ya kupigwa Alibadili na mkangala ambapo husemekana alimtapeli hata CCM wanaogopa kumnunua kwa sababu anaweza kula pesa zao na akamtapeli kama alivyomfanyia fenela.
 
Huyu kachanganyikiwa, sasa hayo anayosema ndiyo yatawaletea wanaukonga maji, barabara etc? No wonder amemkimbia mgombea wa Chadema kwenye mada redioni.
Mwita Waitara ni mvuta Bangi pia ni mshamba fulani hivi, Kitendo cha kuendesha siasa za uchonganishi na fitna badala ya kutangaza sera za maendeleo ni ushahidi tosha kuwa waitara bado ni mwanasiasa uchwara.
 
Back
Top Bottom