Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea akifanya majukumu ya Jimbo

Tatizo kila akisimama kuongea, anaongea pumba
1467401618416.jpg
 
Yani mtu kaweka mikono mfukoni tena mifuko ya nyuma wewe unasema anapiga kazi.
We ulitaka abebe jembe eti eee!!! Yupo kusimamia ujenzi hapo!! Kama huna la kuongea in bora ukafunga tu hilo domo lako!!!
 
db9ce73c7796b759d45fccb2a9b19291.jpg
906bc1681f10f2c9d3827039a720510d.jpg
8243f84be76ee7ec95d81aab7aebcb0e.jpg
Mhe Saed kubenea akiwa jimbo la kibamba akipiga kazi aliyoagizwa na Wananchi WA eneo hilo,eneo la SUCA nyuma ya stand kuu..

MH. baada yakuondolewa bungeni amerudi Jimboni na kuleta kampuni toka ISRAEL. ambayo inajenga barabara kipande kutoka SUCA kilichopo jimboni kwa JOHN MNYIKA mpaka GOLANI ambapo ni jimboni kwake.... MH. KUBENEA.

NILIKUWA NAOMBA MNO WABUNGE WOTE WA UKAWA WAPEWE ADHABU ILI TUPIGE KAZI SASA MAJIMBONI KWETU MAANA HUU NDIO MUDA WENYEWE MANA KAMA MIDOMO WAMEZIBA, NINAJUA WATAHAMIA KWENYE MAJIMBO YENU KUWEKA VIKWAZO.

Kazi inafanyika kwa Ushirikiano Mkubwa WA Wabunge hao vijana chino ya chama chao.

Mungu awape hekima kuliko Za akina Suleiman ili Mtende kwa Uadilifu na weledi.
Kwa uongo? Kaleta yeye mkandarasi toka Israel wakati tenda ya huo mradi ulifanywa na halmashauri (serikali)na ndiye mlipaji. Kubenea kaenda kupiga picha kisha kukupa wewe mwepesi kudanganywa nawe unaongopea wajinga wenzio wa chadema. Watu wa ubungo wanajuta kuchagua hilo furushi.
 
CCM muwe makini na ukawa sasa hivi wameshapoteza uelekeo ndiyo maana wanatafuta kiki kwa nguvu sana wanadhani tunasahau walichotufanyia bungeni wameludi majimboni bila kitu sijui tuliwatuma kutalii.
 
Safi sana Kubenea , nawaonea wivu sana wananchi wa ubungo , sisi jimbo letu la Kyela barabara ni mahandaki matupu , kutoka boda hadi itungi port wajawazito wamekatazwa kupanda magari , wanaweza kujifungua muda si wenyewe , najisikia aibu sana .
 
Kwa uongo? Kaleta yeye mkandarasi toka Israel wakati tenda ya huo mradi ulifanywa na halmashauri (serikali)na ndiye mlipaji. Kubenea kaenda kupiga picha kisha kukupa wewe mwepesi kudanganywa nawe unaongopea wajinga wenzio wa chadema. Watu wa ubungo wanajuta kuchagua hilo furushi.
Kazi ya mbunge no kusimamia serikali.....mbona unatokwa povu Hugo mkandalasi kaletwa na halmashauri inayoongozwa na cdm sasa tatizo liko wapi kwa yy kusimamia ili kazi ifanyike kwa ubora???
 
Wanaompongeza kubenea wakapimwe akili zao haraka sana , kwasbb hakuna alichofanya zaidi ya kuropokaropoka hovyo.
 
Tunakuomba mbunge wetu Waitara na wewe ukapige picha kwenye daraja la kivule.
 
Safi sana Kubenea , nawaonea wivu sana wananchi wa ubungo , sisi jimbo letu la Kyela barabara ni mahandaki matupu , kutoka boda hadi itungi port wajawazito wamekatazwa kupanda magari , wanaweza kujifungua muda si wenyewe , najisikia aibu sana .
Binti wa kihindi kumbe unaogopa ujauzito kwasababu barabara mbaya? Mwakyembe atasimamia hilo ili wananchi wa huko washuhudie mimba ya binti wa kihindi ilivyo.
 
tatizo la mnyika anajisahau sana badala ya kuleta maendeleo kazi kubishana bungeni afu baada ya miaka mitano anaomba kura
 
Kazi ya mbunge no kusimamia serikali.....mbona unatokwa povu Hugo mkandalasi kaletwa na halmashauri inayoongozwa na cdm sasa tatizo liko wapi kwa yy kusimamia ili kazi ifanyike kwa ubora???
Ndio maana unaitwa mjinga. Kandarasi hiyo imeanza kipindi kilichopita ndipo tenda iliitishwa ikafunguliwa akapatikana mshindi ikasainiwa mikataba na kuanza kuingiza vifaa toka nje. Kwa hii miezi minane taratibu zote hizo haziwezi kuwa zimefikisha mradi hapo. Pia mradi ulihitaji upembuzi yakinifu, michoro ndipo mahitaji yajulikane ili wakandarasi wayatumie kuandaa gharama. Hatua zote hizi hazijafanywa na chadema. Hapa huyu anaangalia zao la akili za wanaccm waliopita. Acha uongo!!!!!
 
Binti wa kihindi kumbe unaogopa ujauzito kwasababu barabara mbaya? Mwakyembe atasimamia hilo ili wananchi wa huko washuhudie mimba ya binti wa kihindi ilivyo.
Hivi wewe mamluki unaifahamu kyela au unatumika tu humu jf ?
 
Back
Top Bottom