Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Yanga haiwezikufa kwa kuondokewa na wachezaji bali kama ikiondokewa na kocha na mashabikiVipi wapiga kura wa upinzani nao wamehama?
Wadau
Sio hawajiamini plan yao ni kuchukua majimbo mengi iwezekanavyo hadi kukubali hiyo tume huruHawa jamaa hawajiamini kabisa
Wanajali matumbo yao tu hakuna kingine! Wakae wakijua huko walikoenda kuna wenyewe, ubunge wao ndio umeishia hapo na hawapati teyuzi!Hawa jamaa hawajiamini kabisa
Pandisheni picha hiyo...Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara
Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini, Masasi pamoja na shughuli nyingine za Chama