Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara

Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini, Masasi pamoja na shughuli nyingine za Chama

Zaidi, soma: Mbunge wa Tandahimba, Katani Ahmad Katani(CUF) akanusha kujiuzulu ubunge na kuhamia CCM

IMG_20200221_172731_951.jpg

IMG_20200221_180933.jpg

Aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba (CUF) Ahamadi Katani (mwenye kofia) muda mfupi baada ya kutangaza kujivua nafasi hiyo na kuhamia CCM katika Mkutano uliofanyika Mji wa Nanyamba leo February 21, 2020.
 
Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara

Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini, Masasi pamoja na shughuli nyingine za Chama
 
DAR: BEI YA GESI YA MAJUMBANI YAPANDA
-
Mtungi mdogo ulikuwa Tsh 17,000 sasa ni Tsh 22,000, mitungi mikubwa Tsh 49,000 sasa ni Tsh 50,000 hadi Tsh 54,000
-
Watumiaji wamesema ongezeko hili linaongeza ugumu wa maisha kwani vitu vingi vimepanda.

Mfumo wa CCM ni Ujinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara

Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini, Masasi pamoja na shughuli nyingine za Chama
Pandisheni picha hiyo...
IMG-20200221-WA0005.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom