Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara
Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini, Masasi pamoja na shughuli nyingine za Chama
Zaidi, soma: Mbunge wa Tandahimba, Katani Ahmad Katani(CUF) akanusha kujiuzulu ubunge na kuhamia CCM
Aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba (CUF) Ahamadi Katani (mwenye kofia) muda mfupi baada ya kutangaza kujivua nafasi hiyo na kuhamia CCM katika Mkutano uliofanyika Mji wa Nanyamba leo February 21, 2020.