Mkuu,
Ukitaka vita ya wenyewe kwa wenyewe, utaipata.
Ubora wenu ni nini hasa? Kufukuza wanawake na kuwawekea Mikono juu na kuimba Chagulaga Mwana Mayu?
Kucheza ngoma (mashindano ya ngoma) mwezi mzima huku Mkirogana .... "Chini ngongo chini ngongo......"
Kuuwa Albino ili mpate Utajiri ambao leo mnaanza kujiona eti nyie ni wa Maana sana?
Mwisho wa siku, haya mambo yanaishia kuwa Individuals. Sasa kwa hilo, una uhakika sana kuwa Umempita Kichuguu Kimaisha? Una uhakika kuwa umemzidi Rupia kimaisha? Una uhakika umempita Kapuya kimaisha?
Hii inanikumbusha Story ya Mjamaica mmoja huko Russia ambaye alianza kutamba kuwa wao ingawa ni weusi na wametoka kweli Africa, wako juu zaidi ya sisi Waafrca. Alijibiwa na jamaa mmoja mwenye kigugumizi"
" Ja Ja Jamaican, do you know who are you? You are just REJECTED SLAVES......"
Kumbuka si zamani sana, nyie wote mlikuwa mko chini ya Himaya ya Mtemi Mirambo (Milambo). Walugaluga walikutandikeni na wala hatukusikia mkisema kitu. Kama siyo Wajeruman kuja na kumshambulia Isike, mngelikuwa chini ya Himaya yetu hadi leo. Na wakati huo, mlipigana bega kwa bega na Mirambo, bila ya kujifanya eti nyie Wasukuma na sisi ni Wadakama.
Hata Nyerere alipoanza kutawala, upinzani mkubwa sana alipata kutoka kwa Wanyamwezi na nyie siku hizo mlikuwa mko kwenye NEPI. Ni watu kama Mtemi Lugusha, Kasanga Tumbo, Chief Fundikira na wengine walianza kumpa kashkash Nyerere na kama angelichelewa, leo hii ni Wadakama wangelikuwa wakitawala hii nchi na nyie mngelianza kujikomba kuwa "na sisi ni Wanyamwezi".
Nyerere kwa kutukomoa, ndiyo akaanza kushikilia mkoa wa Tabora ili ubaki palepale miaka nenda miaka rudi. Ila kidogokidogo watu wameanza kurudi Nyumbani. Wazee kwa vijana wanaanza kurudi makwao na kujenga. Taratibu tutaanza kuchangamka na kuja kwa speed ya ajabu. Mnaweza kuwa na hizo dhahabu na Almasi zenu ila nina imani Tabora itakuja kuwa Japan ya Tanzania.
Kwa Zanzibar: Kila mtu wa Bara anaitwa Mnyamwezi. Huko ni sawa ni miziki ya Congo, sisi Tanzania tunaita Bolingo wakati bolingo kwa kilingala ni MAPENZI. kwa hiyo, ukiwa Zenji, kuna makabila matatu tu kutoka bara yaani Wanyamwezi, Wamasaai na Makonde. Wengine kama Wasukuma hata hampo. Sijui kama hiyo ni sifa.
Veve Nkwingwa, ulu ukova Mihayo, letaga du. Ulu Wapandula, enhe nkuponta.
Hii Video hapa chini, inaonyesha Mwamko na Maendeleo yenu Wasukuka. Msikilize Shangazi yako anavyozoza Kisukuma na kweli ninakubali kuwa Mmeendelea sana. Hongereni.....
Tunaposema wasukuma(sisi) ni tofauti na wanyamwezi inabidi sasa mutuelewe.
Hawa watu wanajua mambo matatu tu:
- Kulima vibarua kwenye mashamba ya watu
- Kunywa matapu-tapu
- Kufanya umalaya