Wapi kaka?..Taja eneo husika ili tusigongane!Asante tuko pamoja 2015 nakwenda kugombea ubunge kupitia chadema , You shall never walk alone! My friend jipange !!1!
Asante tuko pamoja 2015 nakwenda kugombea ubunge kupitia chadema , You shall never walk alone! My friend jipange !!1!
Afadhali uwahi maana huyo Airo ameshinda Ubunge kwa mapesa yake tu sidhani kama anao uwezo. Infact sina imani kama kweli amegombea U bunge kwa maslahai ya Wana Rorya.
Rorya Kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Peoples poooooweeeerrr!!
Ndg yangu hao watu wa Rorya hawana Mbunge kama ndo huyu. Nilitazama hoja zake ITV kuelekea uchaguzi, ana sera za kuwa mfadhili wa wananchi badala ya kiongozi. Hafai kabisa. e.g alikuwa anawaambia watumbuizaji waliofika kukusanya umati kwamba wafungue akaunti yeye atakuwa anatembea na cheque za millioni kumi ili awe anagawa kwa vikundi!!. Nikajiuliza kwamba kwani wajibu wa Mbunge ni kugawa pesa? Pamoja na kwamba tunahitaji watu wenye uwezo wasaidie wasiokuwa nacho, sioni kama ni sera ya kuikomalia hiyo.
Pili, akasema akipita ubunge kazi moja wapo nyeti atakayoifanya ni kuwakusanya vijana na kuwaweka kwenye kambi za michezo, huko wawe wanakula na kunywa bure kwa mwezi mmoja. Nikashangaa watu wanamshangilia kwa nguvu alipo waambia vijana mpo??
Mkuu just go ahead. Lakini, ujue kwamba JF haisomwi kule Rorya na kama inasoma huenda ni 0.0001%. Anza mikakati ya kutembelea kule na kuwasiliana na uongozi wa juu wa CHADEMA ili kuanza kujenga mtandao wa chama. Mtandao mzuri utawezesha uungwaji mzuri wa wananchi.
Nilikwisha tangaza wiki 2 zilizopita kuwa nitagombea Ubunge wa Jimbo la Kyela mwaka 2015 kupitia CHADEMA,mikakati imeanza sasa ya "take back our Kyela";mapema tu mwakani nitawaita waandishi wa habari wana JF kijijini kwangu Talatala kuzindua "manifesto"yangu!
Tukianza MICHAKATO mapema kwa kila jimbo CCM itang'oka!
Afadhali uwahi maana huyo Airo ameshinda Ubunge kwa mapesa yake tu sidhani kama anao uwezo. Infact sina imani kama kweli amegombea U bunge kwa maslahai ya Wana Rorya.