TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

Kuna
Ajali?

Really?

Picha iko wapi?

Mnaona WaTZ wajinga eee?

Keep on lying to yourselves! Kuna watu mnafurahisha sana hakuna aliyekuzuia kuvaa barakoa kujisinitize ,kujifukiza,kunawa na hata ukipenda ujifungie ndani kama uchumi unaruhusu kwan kuna aliyekuja kukukamata?tuache lawama jamani
 
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.

Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.

Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.

Ajali ya gari!! Huo ni uwongo. Ilikuwa ajali ya namna gani ambaye imetokea Dodoma, halafu hata isisikike kwa ntu hata mmoja au kwa chombo chochote cha habari?

Jamani kifo siyo tendo la aibu. Tuweni wakweli.

Hizi fikra kuwa mtu kufariki kwa corona ni aibu au laana, ni kufifisha jitihada za kupambana na adui ambaye anatuandama.

Sina imani kuwa amefariki kwaajili, na sisemi amefariki kwa corona maana sina uthibutisho.

Kama kuna uthibitisho wa kutokea ajali juzi tuletewa (najua hautakuwepo maana hakukuwa na ajali).

Pole sana wafiwa. Mungu mwenye uweza awapeni nguvu ya kuyapokea mapenzi yake.
 
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.

Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.

Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.

Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Muhambwe Kigoma kwa mwaka 2015 – 2020 na Mwaka 2020 - 2025. Kazaliwa Tarehe 17 Oktoba 1969
Duuu sisi wazee mbona ndiyo tunapigwa sana jamani?

R.I.P mzee wetu Nditiye
 
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.

Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.

Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.

Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Muhambwe Kigoma kwa mwaka 2015 – 2020 na Mwaka 2020 - 2025. Kazaliwa Tarehe 17 Oktoba 1969

Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.
 
Back
Top Bottom