evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,970
- 9,901
Ukisikia uvunjifu wa Katiba ndani ya Bunge ndio huu
Aende tu, kijana asiyejitambua ni mzigo kwa babaye! Alikuwa hana hata pesa ya kununua gwanda Mbowe akambeba leo anakuja kufanya mambo ya kipumbavu na kipimbi hivi? Siku Lissu akairudi CCM, sitakaa nishabikie siasa tena!!
Jipya ni la mbowe kulewa mpaka kuangukaSilinde alikwishahamia CCM siku nyingi. Hakuna jipya.
wale tunashilikiana nao lengo kumtoa aliyopo kwenye kitiSubirini kwanza Hadi Kama watafanikiwa kuiwa cdm na ACT ndo tutaamia huko
Atoki leo Wala kesho labda 2040 by wanufaika voicewale tunashilikiana nao lengo kumtoa aliyopo kwenye kiti
Unanufaika na bk7 ?? eti mnufaika, ww mnufaisha wenzio tu...kalaga bahoAtoki leo Wala kesho labda 2040 by wanufaika voice
Soma ueleweUnanufaika na bk7 ?? eti mnufaika, ww mnufaisha wenzio tu...kalaga baho
sijaelewa chochote zaidi ya kujitoa ufahamu na kuimba mapambio ya kusifu tuSoma uelewe
Kamjulishe mkewe jinsi ulivyomuokotaJipya ni la mbowe kulewa mpaka kuanguka
Sasa Dj katoa album mpya ya ahmada kaanguka kwenye ngazi na kuteguka mguu kasingizia wanaume watatu.Yupo sahihi
Kachoshwa na Wasanii
Hongera kwa kujitambua
Mbunge wa Momba kupitia chadema kwa Sasa ameomba kuhamia CCM.Kwa hio yupo bungeni kwa chama gni?
Ndungai hajasikia ya Burundi? Kibri hakina mwisho mzuri
Hawa bavicha wanadhani wanaokufa ni wa chama tawala tu, wao ni miungu hawatakufa.Naona msiba wa Burundi sasa itakuwa agenda yenu kuu!
Msigwa gani? Au huyuhuyu aliyekuwa akilewa pombe na mwenyekiti Jana Hadi saa 7 usiku na kusababisha ateleze kwenye ngazi?Kila nikichakata namuona Msigwa akienda CCM
Msigwa kasema walikuwa wanapombeka wote, na Lema pia alikuwepo. Unataka tena uthibitisho gani? Humwamini mgombea urais wenu?Mlikua wote Bar??
Silinde ni plant yule,,sasa kwa habari yake tunampeleka ubwana mifugo wa wilaya kule ubaruku,,akahangaike na wafuga ng'ombe wa kisukuma,,
Kuhakikisha ng'ombe wameoga(deep sanitizing) na wamekunywa dawa kwa wakati
Nishakwambia tutampa ubwana mifugo huko kusini mwa nchiWananchi walimchagua sababu walitaka mabadiliko ya kweli,najua utamwagwa kwenye kura za maoni.