Mbunge wa Momba, David Silinde rasmi ahamia CCM

Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.

Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.

Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM.

Live kutoka bungeni.
😆😆😆😆😆
 
Kaa utulie andika kitu cha kueleweka .Au Mwenye nyuzi nyingi kwa Siku anaongezewa posho huko lumumba
Mkuu, hukufanya busara kwa kauli hii. Ninakubaliana nawe kuwa hajatoa habari kwa utulivu ila hupaswi kumuhukumu mtu eti niccm au chadema. Mimi sijaona kama ameandika kiushabiki wa kichama.

Ni vizuri kuwaacha watu watoe mawazo huru yasioegemea upande wowote kuliko mnavyotaka nyinyi mashabiki wa vyama aidha waponde au wasifie.
 
Yaani kahamishwa kiti hapo hapo, hakuna kufuata taratibu za kisheria tena, Ndugai ndie Spika wa ajabu kuwahi kutokea kwenye bunge la JMT.
Ndugai kwa hili amepotea sana ila mwenyewe amejitetea kuwa taratibu zina mruhusu. Siwezi kujua ni kweli ama la, ngoja tuendelee kufuatilia ukweli wake.
 
Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.

Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.

Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM.

Live kutoka bungeni.
Aisee...huo ndio utaratibu mpya ndani ya bunge la Ndugai.
 
Labda kwanin hawa hamii ACT?

Bunge limegeuka Tawi la ccm
 
Labda kwanin hawa hamii ACT?
ACT Vita iko Zanzibar huko, CCM Zanzibar hawalali kwa Sefu na ACT yake.

Ni swala muda tu, hesabu za visiwani sawa na mbu anaengata P*mbu lazima umutoe kwa utulivu
 
Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.

Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.

Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM.

Live kutoka bungeni.
Wabunge wa viti maalum vya spika
 
Huyu ccm wampokee na wampe teuzi Kama kafulila huyu sio roporopo Kama mwita na hotsun.Ni matured
 
Back
Top Bottom