YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,036
Uteuzi wa mgombea uraisi ndani ya chadema Mchungaji Msigwa kapigwa pini hata vikiletwa vitu vyake jamii forums vinakuwa deleted na moderators
Inaelekea wanataka zisikike taarifa za mgombea Tundu Lisu tu hawataki za Msigwa lakini hawamtendei haki kwa chama kinachojiita Cha kidemokrasia inaelekea jamii forums Kuna moderators team Lisu wanamdhibiti Msigwa asiwe hewani na jinsi uthibiti kwake ulivyo mkubwa sidhani Kama hata ubunge Iringa mjini Kama atapitishwa inaonekana Kuna agenda dhidi ya Msigwa kutangaza kugombea uraisi imekuwa nongwa Wanatangaza watu wagombee wakitaka visasi na vinyongo vinaanza
Hili zoezi la ugombea uraisi halitaiacha chadema salama litakikata chama vipande
Sababu Msigwa kanda ya nyanda za juu ana nguvu Sana Tena mno Team Lisu wasidhani watapata kura kirahisi nyanda za juu kusini kwa kumchezea rafu Msigwa watakiona Cha mtema kuni
Chadema wanachezea wababe wa kanda .Kanda ya ziwa wamecheza na Rwakatare na profesa Baregu na wahanga wa MV butiama hawakwenda hata msibani Hadi mbunge akatimuka kuhamia CCM inakula Kwao.Kanda ya kaskazini wamecheza na Dr Slaa,Lowasa,selasini na Komu na Mbatia ya Pwani wamecheza na profesa Safari na Sumaye , Zanzibar na Pemba wamecheza na Duni Haji na watakiona Cha mtema kuni Sasa wanahamia nyanda za juu kusini kwa Msigwa navSilinde wasubiri majibu uchaguzi mkuu kila sehemu wamevuruga na kote Kuna Giants
Safari hii chadema itapata kura chache Sana masna wafuasi wa hao Giants wataipabwakati mgumu chadema kwenye maeneo Yao
Silinde kuhama kaondoka na team