Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,671
- 851
HAHAHAAAAAAAAAAAAAPopote tu aende hata Chauma

Yaani ni deep cover amekuja ccm kyiba siriPlant kivipi Mkuu..
Ukizoea ubunge utaenda kwenye ajira gani iliyo na uhuru na hela nyingi kama ubunge?
Ni kweli kabisa mkuu, ukitaka kuamini subiri uone mafao watakayolipwa bunge likivunjwaYes pia Hakuna biashara inayolipa Kama ubunge, Ingekuwa ni ya wito wasingefanya
Wanawasahau wataalamu kuwapa maslai Bora wanawapa wasema ndiooNi kweli kabisa mkuu, ukitaka kuamini subiri uone mafao watakayolipwa bunge likivunjwa
Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.
Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.
Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM. Davidi amekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA tangu mwaka 2010
Mbunge huyo alijiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya CHADEMA mwezi Mei, baada ya wabunge wenzake kumtaka kufanya hivyo kwa kutotii agizo la kutokwenda bungeni
Wakati anajiuzulu alisema wananchi ndio walimtuma bungeni, hivyo hata akikosa udhamini wa CHADEMA, atatumia chama kingine
Live kutoka bungeni.
Pia soma
Silinde: Maamuzi ya kutufukuza ni ya kitoto. Kuna udikteta CHADEMA, Mbowe ajitafakari na kuachia Uenyekiti
Mbunge wa Momba, David Silinde awatolea uvivu CHADEMA, asema yeye hapelekeshwi na Mbowe bali wapiga kura wa Momba
Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

Mtaalamu una kazi gani mbele ya wanasiasa wa bongo? Sana sana unaonekana toilet paperWanawasahau wataalamu kuwapa maslai Bora wanawapa wasema ndioo
Jinga weweMsigwa gani? Au huyuhuyu aliyekuwa akilewa pombe na mwenyekiti Jana Hadi saa 7 usiku na kusababisha ateleze kwenye ngazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
ujaelewaUnanufaika na bk7 ?? eti mnufaika, ww mnufaisha wenzio tu...kalaga baho
Bado wamo wamo kina Pauline gekuli dk molleli na kina waitara mpaka kina patrobas katambi tunafanya usafi 2025Hawa mwaka 2025 watafute kazi za kufanya