aztec
JF-Expert Member
- Sep 7, 2018
- 390
- 249
Mm chama tawala na wapinzani kwangu wote ni umbwa tu...
Maana juzi kama sio jana imeletwa nyuzi umu ya kushambuliwa na fisi wamama waliokua wanaenda kuteka maji nyakati za usiku maana maji ni tabu wakati huo huo hii mijamaa inayohama hama ina mishahara minene na posho za ajabu ajabu na huduma kama zote alaf wanapigapiga mayowe tu umo bungeni

anasahau kama ni kipindi cha kumpongeza rais