Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,173
- 3,896
Waarabu walikula sana vyao tena kwa njia za mkato...atulie tu kama hana kosa alilotenda kuliko kusema maneno mengi wakati hakuna anayejua nani mkweli so farWatawala wepi nyie waarabu mnachukulia udhaifu wetu wa ujinga kulimbikiza mali haramu,Magufuli atawaonyesha cha mtemakuni