Mbunge wa Mbarali adai yanayomkumba ni visasi


N

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
575
Likes
1,201
Points
180
Age
55
N

Nairobian

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
575 1,201 180
Mbunge wa mbarali Haroon PirMohamed amedai kwamba kesi feki dhidi yake ni hasira na Visasi vya watawala dhidi yake, kwani alikuwa na ukaribu na utawala uliopita. Hata kesi yake ya ubunge anadai Kuna mkono wa wana CCM.

Lakini hashtuki maana hakuna watakalolifanya Kwa sababu vyombo vya dola na mahakama vinamjua kuwa mtu Safi. Kesi ya Ubunge tutashindana, na hii ya ujangili nalo tutalishinda kwani ni tuhuma na ushahidi wa kupandikiza.

Pirmohammed alikuwa akiongea na wananchi wake waliomshimamisha njiani kumpa pole kutokana na familia yake kuhusu kuhusishwa na ujangili.
 
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
22,355
Likes
64,408
Points
280
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
22,355 64,408 280
Mmmmmh

Wapi walimsimamisha? na picha zipo wapi tuone?

Pia mbona hajamuongelea mtoto wake?

Naona unataka kujisafisha ila habari wengine akina sisi tinasikiliza zile, sababu hakuna moshi bila moto.
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,194
Likes
5,018
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,194 5,018 280
.....
.....J4 kila Kitu ...ukiona manyoya.....
 
A

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Messages
2,383
Likes
492
Points
180
A

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined May 21, 2012
2,383 492 180
I don't believe on the existence of "The Untouchables" in Tzd.

No matter the case, poaching is deleterious and irreversible action against our elephants. Wake up you people and fight this malignant cancer, expose the culprits no matter the risk. Otherwise you will be cursed by your descendants.
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
8,686
Likes
5,746
Points
280
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
8,686 5,746 280
Mbona kuna wengi walikuwa na ukaribu na utawala uliopita lakini hawaandamwi?
 
N

Nyalutubwi

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
573
Likes
44
Points
45
N

Nyalutubwi

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
573 44 45
Hivi utawala uliopita ulikuwa wa chama tofauti na wa sasa?.
 
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Messages
16,175
Likes
27,828
Points
280
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2010
16,175 27,828 280
Mbunge wa mbarali Haroon PirMohamed amedai kwamba kesi feki dhidi yake ni hasira na Visasi vya watawala dhidi yake, kwani alikuwa na ukaribu na utawala uliopita.
Kesi feki? Ile faini ya mil. 138 ilikuwa feki?

Hasira ya watawala, Magufuli? au yupi.

Nilikuwa karibu na utawala uliopita: Nimeelewa kwa nini Faizafoxy anakutetea kwa nguvu.
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,194
Likes
5,018
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,194 5,018 280
Kesi feki? Ile faini ya mil. 138 ilikuwa feki?

Hasira ya watawala, Magufuli? au yupi.

Nilikuwa karibu na utawala uliopita: Nimeelewa kwa nini Faizafoxy anakutetea kwa nguvu.
 
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
9,680
Likes
3,584
Points
280
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2012
9,680 3,584 280
Najua Toto yake nefanya nini?wewe....
 
M

mwenyewe ndio mimi

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
352
Likes
209
Points
60
M

mwenyewe ndio mimi

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2015
352 209 60
Kuna mdau mmoja jana alituambia familia ya huyu jamaa wapo wengi sanaa .nazidi kukubali kauli yake maana nawaona tuu nguvu wanayotumia kujisafisha na wengine mpaka kufungua uzi kabisa wakujifanya eti huyu jamaa anapendwa sana na raia wake .
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,439
Likes
18,795
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,439 18,795 280
Kwahiyo ndio maana mkaua anayeandamwa anaweza kuua kweli?.....

Only in Tanzania...
 
ozil 10

ozil 10

Member
Joined
Oct 2, 2016
Messages
85
Likes
52
Points
25
Age
31
ozil 10

ozil 10

Member
Joined Oct 2, 2016
85 52 25
Kuna mdau mmoja jana alituambia familia ya huyu jamaa wapo wengi sanaa .nazidi kukubali kauli yake maana nawaona tuu nguvu wanayotumia kujisafisha na wengine mpaka kufungua uzi kabisa wakujifanya eti huyu jamaa anapendwa sana na raia wake .
Mkuu n familia kubwa sana afu ina mpunga sana wameivest mpaka south Africa huu ubunge yawezekana n geresha tu
 
Invisble275

Invisble275

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
982
Likes
1,047
Points
180
Invisble275

Invisble275

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
982 1,047 180
Watawala wepi nyie waarabu mnachukulia udhaifu wetu wa ujinga kulimbikiza mali haramu,Magufuli atawaonyesha cha mtemakuni
Mkuu jamii ya kitanzania (Waafrica) tusipoamka sasa hivi tutaoendelea kuwa mazoba. Hawa waraabu, wahindi na wazungu ni wa hovyo sana. Nenda nchi zao uone kwa ngozi yako utakvyo nyanyaswa. Vyombo vyetu vya dola ndivyo vya kupewa lawama. Wanawabeba hawa wapuuzi na kuwaonea watanzania wenzao kwa kuwabambikia kesi. Angalia kwa swala kama hili angekuwa mtanzania mweusi tena asiye na jina tungekuwa tumeishasikia mengi kwenye media. Lakini wanawalinda hawa waarabu na wageni. Mfano mdogo tu Kinana mie nimemfahamu tokea miaka ya 80 wakifanya biashara ya meno ya tembo na ndugu yake mmoja akiitwa Abdilah Hakimu. Huyu Abdilah Hakimu alikuwa akikaa pale Chato, wakiwa na kikundi cha vijana waliokuwa wakiua tembo kwenye pori la Burigi, pamoja na Matabe (wakazi wa Chato/Biharamulo) wanayajua mapori haya. Kipindi hicho walikuwa wakiuwa tembo meno yanahifadhiwa Kwa mzee mmoja (Kitengure) akiishi Nyamirembe. Haya meno ya tembo yalikuwa yakisafirishwa usiku kwa kutumia Malori ya Chato Ginnery na kusindikizwa na askari kutoka kituo cha Nyamirembe polisi (askari Jovin na wenzake wamefanya hii kazi sana). Sasa shangaa leo hii Kinana ni nani nchi hii?


Kwa hiyo kuhusu hili la Mbarali, ni dhahiri kabisa kuwa vyombo vya dola vinaulinda mfumo wa Ujangiri. Na majangiri wanawajua fika. Lakini kwa kuwa na wao niwanufaika ndo maana unaona kigugumizi.
 
M

Mkwe21

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
2,049
Likes
650
Points
280
M

Mkwe21

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
2,049 650 280
Huyu Bwana akiachwa tujue Tembo tutawasikia Makumbusho ya Taifa
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
16,608
Likes
9,421
Points
280
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
16,608 9,421 280
Bi mkubwa ajuza mjane mweusi njoo utoe neno huku.
 
Lancanshire

Lancanshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2014
Messages
14,037
Likes
8,282
Points
280
Lancanshire

Lancanshire

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2014
14,037 8,282 280
Unajitetea mbona HSC walikuwa na ukaribu na utawala uliopita na mpaka sasa wameweza Ku maintain ukaribu huo? Kwanini wakuandame wewe una nini?
 
NG'HOMELE

NG'HOMELE

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Messages
470
Likes
117
Points
60
Age
31
NG'HOMELE

NG'HOMELE

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2014
470 117 60
hawa warabu wa kiburushi kazi yao kubwa ni ujangiri hilo halipingiki kwa hapa tanzania. serikali ichukue jukumu la kuwachunguza haswa wanapatikana huko mbalari na wilaya ya igunga mkoani Tabora. hizo ndio dili zao asianze kulialia km yatima pamba....fu zake
 

Forum statistics

Threads 1,274,859
Members 490,833
Posts 30,526,117