Hivi kutoa misaada ktk jimbo lako kukaribia na uchaguzi mkuu ni haki? kwanini hukutoa ile misaada tangu zamani wakati wananchi walikuwa wakikulalamikia? hii ni rushwa ya uchaguzi ili wananchi wakuone unafaa. Wana Ludewa chukueni hatua, fikirieni kwa kina itakuja kuwagharimu.Miaka 5 imefika ndio leo unatoa shuka,vyandarua hospitalini.