peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,828
- 21,461
Kwa akili yako ya nyumbu tayari umeiamini hiyo picha?Duh! Hii ni aibu kwa wana CCM wa Hai. Ama ni sehemu maalumu ya kufanyia matambiko nini!
Ndio maana lichama lako lilishakufa zamani imebaki maziko TU kufanyia.Kwa akili yako ya nyumbu tayari umeiamini hiyo picha?
Halafu mkifananishwa na Nyumbu mnalalamika?
Ni kama wadudu walivyokaa wengi kichwani.Kwa akili yako ya nyumbu tayari umeiamini hiyo picha?
Halafu mkifananishwa na Nyumbu mnalalamika?
Huyi ni Mbunge wa viti maalumu hakuchaguliwa na wananchi wa Hai,hata yeye anajua na anajishangaa kuwa Mbunge.Kichwa cha habari kinajitosheleza.
Mh mbunge saashisha mafue mbunge wa jimbo la Hai.
Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijans wa CCM.
Ofisi hiyo ya chama tawala na ya wilaya inakulilia wewe umalizie jengo hilo na lifanane na jengo la ccm wilaya.
Huwa ukiwa jimboni kwako unafika hata kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi hiyo? Je 2025 utarudi kwenye ofisi hiyo hiyo kuchukua tena fomu ya kugombea ubunge?
Au utaomba chama kikuletee hiyo fomu nyumbani kwako uweze kuijaza? Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakuwa umemfikia comred kinana na comred chongolo.
Daah nakupa pole mzee, upumbavu ulionao kichwani ni next level.Duh! Hii ni aibu kwa wana CCM wa Hai. Ama ni sehemu maalumu ya kufanyia matambiko nini!
Kwa akili yako ya kindezi umeshindwa nini kuleta picha ambayo unaiona ni sahihi na siyo hiyo iliyowekwa jamvini.Kwa akili yako ya nyumbu tayari umeiamini hiyo picha?
Halafu mkifananishwa na Nyumbu mnalalamika?
Labda tumuulize yule aliyemwambia mshindani wake hata iweje hataweza kushinda ubunge🏃🏃Huyi ni Mbunge wa viti maalumu hakuchaguliwa na wananchi wa Hai,hata yeye anajua na anajishangaa kuwa Mbunge.
Hili neno nyumbu lilishachuja na kupoteza mvuto tafuteni neno baya zaidi lenye kukeraKwa akili yako ya nyumbu tayari umeiamini hiyo picha?
Halafu mkifananishwa na Nyumbu mnalalamika?
Hapana jamaa ni muongo huyo kwanza Hai hakuna nyumba kama hiyo hata kule Sanya station umasaini hakuna kitu kama hichondo ofisi ya wilaya?
Ofisi za CCM huwa zinajengwa na wabunge?Je,hiyo ni miongoni mwa majukumu ya mbunge?Kichwa cha habari kinajitosheleza.
Mh mbunge saashisha mafue mbunge wa jimbo la Hai.
Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijans wa CCM.
Ofisi hiyo ya chama tawala na ya wilaya inakulilia wewe umalizie jengo hilo na lifanane na jengo la ccm wilaya.
Huwa ukiwa jimboni kwako unafika hata kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi hiyo? Je 2025 utarudi kwenye ofisi hiyo hiyo kuchukua tena fomu ya kugombea ubunge?
Au utaomba chama kikuletee hiyo fomu nyumbani kwako uweze kuijaza? Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakuwa umemfikia comred kinana na comred chongolo.
Kwani kazi yake kuboresha ofisi ya chama?Kichwa cha habari kinajitosheleza.
Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai.
Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM.
Ofisi hiyo ya chama tawala na ya wilaya inakulilia wewe umalizie jengo hilo na lifanane na jengo la CCM wilaya.
Huwa ukiwa jimboni kwako unafika hata kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi hiyo? Je 2025 utarudi kwenye ofisi hiyo hiyo kuchukua tena fomu ya kugombea ubunge?
Au utaomba chama kikuletee hiyo fomu nyumbani kwako uweze kuijaza? Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakuwa umemfikia comred Kinana na comred Chongolo.
Siku ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge 2025 wanakusubiri kwa hamuO
Ofisi za CCM huwa zinajengwa na wabunge?Je,hiyo ni miongoni mwa majukumu ya mbunge?
Shaashisha Mafue Hana chamaKwani kazi yake kuboresha ofisi ya chama?